Search results

  1. T

    Kiwanja kinauzwa kigamboni-Mwasonga

    Nauza kiwanja kipo kigamboni eneo la mwasonga opposite na KISALAWE B SECONDARY, kina ukubwa wa ekari moja. Bei ni sh ml 13 au ukitaka nusu ekari ni sh ml 6,500,000. Maelewano yapo. Kina nyaraka za serikali za mitaa, mawasiliano 0712293766. ASANTENI.
  2. T

    Nauza kiwanja kigamboni

    Habari ndugu zangu, nauza kiwanja chenye ukubwa wa ekari moja,kipo kigamboni Mwasonga opposite na sekandary ya kisalawe B. Ni cha kwangu mwenyewe,nauza kwakuwa ninashida ya ADA ya masomo,hakuna hati ila kina document za serikali za mitaa. Ni sh ml 16 tu. Tafadhali kama unaweza kukinunua naomba...
  3. T

    Nauza ekari moja

    Wadau nauza ekari moja sh mil.17, kipo kigamboni maeneo ya kisalawe B kiko karibu na dar zooo.karibu sana.0688661057
  4. T

    Kirombelo: Afsa mtendaji wa Kijiji afungiwa Ofisi

    breaking news Afsa mtendaji wa kijiji afungiwa ofisi baada ya kushindwa kuafikiana na Mw/kit wa kijiji pamoja na wajumbe. update caming...... Siku nne zilizopita katk kijiji cha Mlimba (w)Kirombelo kulikuwa na mkutano mkuu wa hadhara, agenda kuu ni kusoma mapato na matumizl. Kwa...
  5. T

    Wanaume wenye sura mbaya ndio waanzilishi wa kuhonga wanawake

    Utakuta kuna mwanaume ana Sura ya ajabu, sura ya kutisha, sura utafikiri anakunywa Gongo kila saa, mpaka wanawake wanamuogopa kumuangalia. Mwanaume kama huyu mwanamke gani atamtaka, mwisho wake wananza kutumia wapambe kumpelekea pesa huyo mwanamke. Mwisho wa siku tamaa ya wanawake hujishitukia...
  6. T

    Kutangaza nia ya ubunge CHADEMA

    Mimi ni mmoja wa watu wanaotaka kugombea ubunge kwa tiketi ya chadema, napenda kujua kama kuna ulazima wowote wa kutangaza nia mapema na kama ulazima huo upo, naomba kwa anayejua taratibu za kutangaza nia anisaidie ni taratibu zipi natakiwa kuzifuata. Asanteni
  7. T

    Hakuna tena watu kukatwa miguu kutokana na ajali

    Amini usiamini ukweli ndio huo,kuna mganga wa tiba za hadi anayeweza kutibu wagonjwa waliovunjika viungo bila kuvikata kama inavyofanyika katika hospitali zetu. Huyu mzee anapatikana Wilaya ya ILEJE KIJIJI CHA BWENDA. Naomba kuwambia kwamba ninayeandika hapa siyo mganga wa kienyeji mm ni...
  8. T

    Utumishi utumishi utumishi acheni uhuni

    Hebu tuambieni mmetumia taratibu gani wa kushorlist watu wanao omba nafasi CEO katika chuo cha taifa cha utalii. Mbona hatujaona majina ya watu walioitwa kwenye interview kwenye website ya utumishi. badala yake mmeita watu wawili tena kwa njia ya simu. Huu ni uhuni uhuni uliopitiliza...
  9. T

    Ccm wakamatwa wakibandika majina feki ya wapiga kura-kiwalani/kigiragira

    Baada ya kugundua hayo vijana waliovalia tshirt za cuf waliamua kung'oa hayo majina.baada ya hapo ccm wakaamua kuwakamata hao vijana na kuwapeleka kituo cha police kiwalani na huku wakijigamba kwamba lazima walale ndani mpaka UCHAGUZI. HATA HIVYO INASEMEKANA WAPIGA KURA FEKI WAMELETWA KUTOKA...
  10. T

    Tafiti za siasa za tanzania na maajabu yake

    Hivi ni kweli katika tafiti ni nani anafaa kuwa rais wa Tanzania Jemedari Mwiguru Nchemba hayupo kabisa, yaani Mwiguru anazidiwa hata na Makamba, kweli jamani? Yaani makamba anamzidi mpaka wassira, yaani makamba anamzidi mpaka membe, kweli jamani? Sijui nyie WENZANGU.
  11. T

    Mtoto Swahila anaomba msaada wenu

    Mtoto huyu alifaulu kwenda kidato cha kwanza mwaka jana baba yake alisema kwa muda huo hana hela ya kumpeleka sekondari akaamua kwanza kumpeleka Tuition huku akimuahidi kwamba atampeleka secondary school pindi akipata hela. Lakini hivi majuzi amesema hawezi kumpeleka sekondari na hivyo achague...
  12. T

    Mtoto huyu anaomba msaada wenu tafadhali

    Habari wanajamii, nakuja mbele yenu nikijaribu kumuombea msaada wa kumsomesha mtoto Swahila anaishi hapa Dar. Mtoto Swahila alifaulu kwenda secondary mwaka jana, kwa bahati mbaya mpaka sasa hajaanza shule. Kipindi cha mwanzo baba mtu alisema hali yake kifedha siyo nzuri akabidi amwanzishe mtoto...
  13. T

    Msaada master distance learning

    Tafadhali kwa wale wenye uzoefu wa masters zinazotolewa kwa njia ya masafa marefu, je huwa vyeti vyake vinatambulika na serikali yetu? Tafadhali napenda kujua, chuo chenyewe ninachotaka kusoma ni nicosia university. Kipo cyprus.
  14. T

    Form six wote muhimu soma hapa

    Kwa wale form six wote mnaohitaji kusoma course za utalii mnakaribishwa chuo cha Taifa cha utalii, tunatoa course zifuatazo...
  15. T

    Naomba ushauri kuhusu kusoma masters in project management

    jamani naombeni ushauri wenu, degree ya kwanza nimesoma Bchelor of tourism management, na kwasasa nina plan ya kusoma master of project management pale open university of Tanzania, vp ndugu zangu plan yangu iko sahihi. naomba ushauri wenu.
  16. T

    university dar es salaam

    naomba msaada, yoyote mwenye kujua course content ya MA project planning and management inayotolewa hapo UDSM, NAOMBA MSAADA. NIMEOMBA MSAADA KWENYE JUKWAA LA ELIMU SIJAFANIKIWA HEBU WANASIASA NISAIDIENI.
  17. T

    Aliyepo University of Dar es salaam naomba anisaidie

    Tafadhali naomba msaada kwa anayesoma udsm au mtu yoyote au lecturer, anipositie course content ya MA PROJECT PLANNING AND MANAGEMENT. asante kwa msaada wako.
  18. T

    marufuku binadamu yoyote kufanya mapenzi

    Ni mtazamo wangu, hebu naomba maoni yenu wake kwa waume, just imagine ikatokea leo kufanya ngono kati ya mwanaume na mwanamke kukapigwa marufuku, wewe binafsi unafikiri nani kati ya mwanamke na mwanaume atakuwa wa kwanza kuleta upinzani dhidi ya marufuku hiyooo???
  19. T

    msaada jamani

    mtoto wangu wa kiume ana umri wa mwaka 1 na miezi miwili anakojoa mkojo ambao anacha alama kwenye nguo hata ukifua na sabuni alama hizo hazitoki na muda mwingine anapenda kuchezea dudu yake. kwasasa anaumwa na alipewa dawa ya malaria aina ya mseto, na amemaliza juzi jioni ila mpaka sasa...
  20. T

    Chadema=eff cha julius malema

    Wanajf kama mmejaribu kufuatilia siasa za africa kusini kuna kiongozi wa chama economic freedom fighters bwana julius malema, mm binafsi nafurahishwa sana na sera za chama chake ambazo kwa hapa zinafanana na sera za cdm. Wenzangu mnamuonaje huyu kijana na mnaonaje sera za chama na sisi vijana wa...
Back
Top Bottom