Ccm wakamatwa wakibandika majina feki ya wapiga kura-kiwalani/kigiragira

tondoli

JF-Expert Member
Apr 24, 2013
207
51
Baada ya kugundua hayo vijana waliovalia tshirt za cuf waliamua kung'oa hayo majina.baada ya hapo ccm wakaamua kuwakamata hao vijana na kuwapeleka kituo cha police kiwalani na huku wakijigamba kwamba lazima walale ndani mpaka UCHAGUZI. HATA HIVYO INASEMEKANA WAPIGA KURA FEKI WAMELETWA KUTOKA ILALA KIASI CHA KUSABABISHA GUEST ZOTE KIWALANI KUJAA. TUNAOMBA KAMA MKURUGENZI UTAPATA TAARIFA HIZI TAFADHALI ZIFANYIE KAZI, BILA HIVYO INAWEZAKUPELEKEA UMWAGAJI WA DAMU HAPO KESHO. SOURCE NI MIMI MWENYEWE NILIOPO ENEO LA TUKIO
 
Attachments

  • IMG_20141220_161858.jpg
    IMG_20141220_161858.jpg
    716.9 KB · Views: 2,131
  • IMG_20141220_161817.jpg
    IMG_20141220_161817.jpg
    677.8 KB · Views: 1,845
Usishangae hapo viongozi wa ccm kuwafuata viongozi wa dini kuwaomba waliombee taifa letu amani!!
 
Toa taarifa kwa viongozi wa vyama vya siasa walio karibu nawe ili wachukue hatua haraka.

Baada ya kugundua hayo vijana waliovalia tshirt za cuf waliamua kung'oa hayo majina.baada ya hapo ccm wakaamua kuwakamata hao vijana na kuwapeleka kituo cha police kiwalani na huku wakijigamba kwamba lazima walale ndani mpaka UCHAGUZI. HATA HIVYO INASEMEKANA WAPIGA KURA FEKI WAMELETWA KUTOKA ILALA KIASI CHA KUSABABISHA GUEST ZOTE KIWALANI KUJAA. TUNAOMBA KAMA MKURUGENZI UTAPATA TAARIFA HIZI TAFADHALI ZIFANYIE KAZI, BILA HIVYO INAWEZAKUPELEKEA UMWAGAJI WA DAMU HAPO KESHO. SOURCE NI MIMI MWENYEWE NILIOPO ENEO LA TUKIO
 
Mimi huwa ninawashangaa hao wanaokubali kutumika wakati wapanga mipango wanakuwa ofisini kwenye viyoyozi. Mtapigwa na kutiwa vilema au hata kufa mkitete msichokijua. Shauri yenu.
 
Kwa yale yaliyotokea Bunda adi vijana wetu 15 wakalala ndani siku 3 ndo yatatokea kesho uko Kiwalani, ila jitahidini waliokamatwa watoke.
 
Mimi huwa ninawashangaa hao wanaokubali kutumika wakati wapanga mipango wanakuwa ofisini kwenye viyoyozi. Mtapigwa na kutiwa vilema au hata kufa mkitete msichokijua. Shauri yenu.

na mbaya zaidi mwisho wa siku analipwa 5000 au 10000 watu kama hao niwakuwafanya vilema tuu
 
Mimi huwa ninawashangaa hao wanaokubali kutumika wakati wapanga mipango wanakuwa ofisini kwenye viyoyozi. Mtapigwa na kutiwa vilema au hata kufa mkitete msichokijua. Shauri yenu.

WANATETEA WASICHOKIJUA. MBONA KIKO WAZI AU UNAMAANA GANi, MM CCM NI JANGA LA TAIFA HILI..
 
Back
Top Bottom