Kiwanja kinauzwa kigamboni-Mwasonga

tondoli

JF-Expert Member
Apr 24, 2013
207
51
Nauza kiwanja kipo kigamboni eneo la mwasonga opposite na KISALAWE B SECONDARY, kina ukubwa wa ekari moja. Bei ni sh ml 13 au ukitaka nusu ekari ni sh ml 6,500,000. Maelewano yapo.
Kina nyaraka za serikali za mitaa, mawasiliano 0712293766. ASANTENI.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom