Mimi ni mmoja wa watu wanaotaka kugombea ubunge kwa tiketi ya chadema, napenda kujua kama kuna ulazima wowote wa kutangaza nia mapema na kama ulazima huo upo, naomba kwa anayejua taratibu za kutangaza nia anisaidie ni taratibu zipi natakiwa kuzifuata. Asanteni