Search results

  1. SPYMATE

    Msaada kudecypt Aeur file

    Don't worry, you can return all your files! All your files like pictures, databases, documents and other important are encrypted with strongest encryption and unique key. The only method of recovering files is to purchase decrypt tool and unique key for you. This software will decrypt all your...
  2. SPYMATE

    TTCL WANATUIBIA

    Wakuu kama mzalendo wa nchi niliamua kuwaunga mkono TTCL kupitia T-Pesa cha ajabu ndugu zetu hawa wamekosa uhaminifu kabisa!! Zaidi ya Mara mbili nimenunua airtime kutoka T-Pesa kuja kwenye no yangu ujumbe unakuja "Airtime Topup of Tsh 5,002.00 to 255736....... was successful" Ila salio...
  3. SPYMATE

    Xiaomi Redmi 4a bei poa

    Ninauza Xiaomi Redmi 4a. Mpya kabisa haijatumika *Specification* Xiaomi Redmi 4A 2GB RAM 16G ROM Snapdragon 425 quad Core 5" 720P 5+13mp camera . Double line 4g lte Color grom Gold Bei 350,000
  4. SPYMATE

    Wapi nitapata kioo cha sony xperia z2

    Wanabodi, Nimeangusha simu tajwa hapo juu kioo kimepata ufa ila simu inawaka vizuri tu, Tatizo ni kwamba touch screen inazingua nashindwa kufanya chochote hata kuswipe screen lock. Wakati mwingine huwa inajibofya yenyewe so nadhani tatizo lipo kwenye digitizer. Naomba mnishauri nifanyeje? Kama...
  5. SPYMATE

    Msaada jinsi ya ku-switch 3G kwenye Samsung Galaxy S3, Clone

    Wakuu nina Samsung galaxy s3 Alps (clone) mda wote inasoma edge. Nimejaribu kila njia ili nipate 3G lakini nimeshindwa, Najua humu JF kuna wajuzi wa kila namna hivyo naomba msaada wenu kuiswitch 3G. Ajabu hii simu ni edge mda wote ila nikitumia wifi inakuwa fast speed mpaka nashangaa...
  6. SPYMATE

    Mnaonaje ubora wa hii smartphone Cubot S208 ?

    Display 5 inch qHD (960 x 540) Processor 1.3GHz MTK6582 Quad-Core, Cortex-A7 RAM 1GB Storage 16GB, microSD card slot, up to 32GB Camera 8 Megapixel Rear Camera & 5 Megapixel Front-Facing Camera Battery 2000 mAh Connectivity GPS, microUSB 2.0, Wi-Fi b/g/n, Bluetooth Networks GSM...
  7. SPYMATE

    Huyu jamaa kweli anastahili kuwekwa jail?

    Chande Abdallah na Deogratius mongela Katika hali ya kushangaza, mtu mmoja anayefahamika kwa jina la Ali, mkazi wa Mwananyamala jijini Dar, amekamatwa na polisi baada ya kudaiwa kuunganisha visivyo halali, mitambo ambayo iliwawezesha watu kuangalia matangazo ya televisheni ya vituo mbalimbali...
  8. SPYMATE

    Graphics Card ipi inafaa kwaajili ya kuchezea game

    Habari wanatech, Nina desktop Duo core ya 2gb of RAM but nataka kuiupgrade hadi 4gb kwaajili ya kuifanya icheze smoothly PC game za kisasa je niweke graphic card ya aina gani na inapatikana duka gani hapa Dar ? Ikiwezekana mniwekee na estimate cost . CC chief-mkwawa leh Ndetcha Paje...
  9. SPYMATE

    Series ya Swallow the Sun

    Wanajamii naomba msaada mnipe link ya kupakua hii series ya kikorea ya Swallow the sun ikiwa na english subtitle. Maana nimetafuta bila ya mafanikio,nimeingia hadi kwenye torrents hola au unakuta haina seeders so mwenye link ya kupakua episode nzima nzima siyo zile zenye vipande (parts) atupie hapa.
  10. SPYMATE

    Apple wazindua Mac book pro ya kiAfrika

    Hebu jionee teknolojia mpya ya kibongo bongo
  11. SPYMATE

    Wakuu hii imekaaje

    WAJUZI naomba mnijuze kuhusu hii kitu sijaielewa kabisa CC chief-mkwawa NingaR fadhil paulo C6 ndetichia Mr Kicheko
  12. SPYMATE

    ZIJUE 100 Keyboard Shortcuts

    The General ShortcutsWe’ll kickoff the list with some really general shortcuts that you often used. CTRL+C (Copy) CTRL+X (Cut) CTRL+V (Paste) CTRL+Z (Undo) Delete (Delete) Shift+Delete (Delete the selected item permanently without placing the item in the Recycle Bin) CTRL while dragging an...
  13. SPYMATE

    Vitu vizito

  14. SPYMATE

    Hivi kwanini bongo hakuna viyu kama hivi?

    Siku zote nimekuwa nikijiuliza kwanini bongo hatuna vitu kama hivi yaani hata kenya wanatutimulia vumbi. Inakuwaje wakenya wanakuwa wababe kwetu kila idara ilhali wataalam tunao? HD NET STREAM: Online TV http://www.kenyamoja.com/tv/
  15. SPYMATE

    Msaada emachine eM350

    Wakuu nina mini notebook aina ya eMachine eM350 series amayo nikiwasha indicator yake inawaka kuonyesha kwamba ipo on pia processor fan inazunguka tatizo Display haionyeshi kitu yaani haiwaki kabisa nimejaribu kuiunga na monitor pia haionyeshi kitu. Naombeni msaada wakuu kufumbua hili fatizo...
  16. SPYMATE

    Proxifier kwa wale wazee wa vichaka

    1. Kwanza kabisa Install Java then unainstall Proxifier na kuiregister. UKISHAINSTALL proxifier nenda Profile ---- Advanced then click HTTP proxy server kama nilivyoonyesha kwenye image hapo chini:- 2.Itatokea kama hivi:- Wewe tick kwenye hicho kibox kuenable HTTP proxy server support...
  17. SPYMATE

    Jinsi ya kuichakachua wajanja night offer

    Wanandugu/wanajamii ni kipindi kirefu sasa ninatumia wajanja night offer inayoanza saa 4 usiku hadi saa 1 asubuhi. Nilichogundua ni kwamba hii offer inakuwa active ndani ya 24 hrs ila wamezuia nyakati za mchana sasa wana jamii je hakuna uwezekano wa kuibypass ili iwe full24 hrs itupunguzie adha...
Back
Top Bottom