TTCL WANATUIBIA

TTCL WANATUIBIA

SPYMATE

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2013
Posts
2,262
Reaction score
2,197
Wakuu kama mzalendo wa nchi niliamua kuwaunga mkono TTCL kupitia T-Pesa cha ajabu ndugu zetu hawa wamekosa uhaminifu kabisa!!

Zaidi ya Mara mbili nimenunua airtime kutoka T-Pesa kuja kwenye no yangu ujumbe unakuja "Airtime Topup of Tsh 5,002.00 to 255736....... was successful"
Ila salio aliingii wakati pesa inakuwa imeshakatwa Kule T-Pesa.
Mara ya kwanza nilipotezea lakini sasa imekuwa too much yaani nashindwa kuwaelewa hawa watu.
 
Binafsi natumiaga application inaitwa selcom kufanya malipo takribani yote kuanzia vocha za mitandao yote ikiwemo ttcl, vingamuzi, luku, maji na vitu vingine kibao na wala sioatagi tatizo, njia nyingine ya kununua vocha kwa ttcl ni kwa M-PESA...piga *150*00#>>4>>4>>ingiza 339999>>ingiza mamba ya ttcl>>ingiza pin ya mpesa>>thibitisha..

Yote kwa yote app ya selcom ndo mpango mzima
 
Mini akaunti yangu t pesa sijui wameifanya nini. Password zote zinagoma niliwapigia wakanipa password mpga nayo hamna kitu yani shida tuuu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Binafsi natumiaga application inaitwa seldom kufanya malipo takribani yote kuanzia vocha za mitandao yote ikiwemo ttcl, vingamuzi, luku, maji na vitu vingine kibao na wala sioatagi tatizo, njia nyingine ya kununua vocha kwa ttcl ni kwa M-PESA...piga *150*00#>>4>>4>>ingiza 339999>>ingiza mamba ya ttcl>>ingiza pin ya mpesa>>thibitisha..

Yote kwa yote app ya seldom ndo mpango mzima
Hii seldom app inapatikana play store!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna sehemu unakosea...
Unatakiwa uchague Kama unatuma vocha kwenye mtandao mwingine.
LA sivyo Utamaliza vocha zako. Ila ukiwapigia watakurudishia pesa zako.
nilishawahi kubwa na hilo tatizo
 
mimi nna hasira nao adi basi! juzi nlijiunga na bando la week 2500 wakakata hela imefika usiku nikadhani labda mtandao unasumbua maana nlikua sipati chochote, jana asubuhi nikaangalia salio wakasema sina salio nikapotezea,nikajiunga tena cha elf 2500 wamerudia tena ushenz huo huo na kila nikiwapigia no yao naambiwa iko busy.

Tunatafuta faida kubwa ya kuutangazia umma
 
wakipokea simu nistue

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa jinsi wanavyofanya kazi inaelekea TTCL hawajabadilisha mindset za wafanyakazi yaani bado wana fikra zile za 1970 tulizokuwa tunasimama foleni ili uweze kupiga simu kwa ndugu tena tukivizia iwe usiku ili tuwapate wakiwa nyumbani...TTCL jamani badilikeni ili watu wawe wazalendo!
 
hawachelewi kukubadilishia namba bila wewe kujua..mfano namba yako inaishia 50 unakuta kesho inaishia 72
Kwa jinsi wanavyofanya kazi inaelekea TTCL hawajabadilisha mindset za wafanyakazi yaani bado wana fikra zile za 1970 tulizokuwa tunasimama foleni ili uweze kupiga simu kwa ndugu tena tukivizia iwe usiku ili tuwapate wakiwa nyumbani...TTCL jamani badilikeni ili watu wawe wazalendo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi nna hasira nao adi basi! juzi nlijiunga na bando la week 2500 wakakata hela imefika usiku nikadhani labda mtandao unasumbua maana nlikua sipati chochote, jana asubuhi nikaangalia salio wakasema sina salio nikapotezea,nikajiunga tena cha elf 2500 wamerudia tena ushenz huo huo na kila nikiwapigia no yao naambiwa iko busy.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa unakonect network ya simu na pc?

Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom