Msaada jinsi ya ku-switch 3G kwenye Samsung Galaxy S3, Clone

SPYMATE

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2013
Posts
2,387
Reaction score
2,419
Wakuu nina Samsung galaxy s3 Alps (clone) mda wote inasoma edge. Nimejaribu kila njia ili nipate 3G lakini nimeshindwa, Najua humu JF kuna wajuzi wa kila namna hivyo naomba msaada wenu kuiswitch 3G.

Ajabu hii simu ni edge mda wote ila nikitumia wifi inakuwa fast speed mpaka nashangaa.

Nitashukuru mkinisaidia.
 
22.jpg

Kaka hilo liclone la Fei Teng halinaga 3G, hapo ni Edge mwanzo mwisho labda utumie hiyo wifi au hotspot toka vifaa vingine sahau kabisa kupata setting za 3G maana hazina uwezo huo.

Kama una ukwasi wa kutosha isukume then uvute android ya maana.
 
Wakuu nina Samsung galaxy s3 Alps (clone) mda wote inasoma edge. Nimejaribu kila njia ili nipate 3G lakini nimeshindwa, Najua humu JF kuna wajuzi wa kila namna hivyo naomba msaada wenu kuiswitch 3G.

Ajabu hii simu ni edge mda wote ila nikitumia wifi inakuwa fast speed mpaka nashangaa.

Nitashukuru mkinisaidia.
Wri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom