SPYMATE
JF-Expert Member
- Apr 17, 2013
- 2,387
- 2,415
Wakuu nina mini notebook aina ya eMachine eM350 series amayo nikiwasha indicator yake inawaka kuonyesha kwamba ipo on pia processor fan inazunguka tatizo Display haionyeshi kitu yaani haiwaki kabisa nimejaribu kuiunga na monitor pia haionyeshi kitu.
Naombeni msaada wakuu kufumbua hili fatizo maana sijajua tatizo li wapi kama RAM nimeshabadilisha zaidi ya 3 bado haijawaka.
Kimox Kimokole shiny c MziziMkavu C6 na wengine msaada tafadhali
Naombeni msaada wakuu kufumbua hili fatizo maana sijajua tatizo li wapi kama RAM nimeshabadilisha zaidi ya 3 bado haijawaka.
Kimox Kimokole shiny c MziziMkavu C6 na wengine msaada tafadhali