Proxifier kwa wale wazee wa vichaka

Proxifier kwa wale wazee wa vichaka

SPYMATE

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2013
Posts
2,332
Reaction score
2,341
1. Kwanza kabisa Install Java then unainstall Proxifier na kuiregister.
UKISHAINSTALL proxifier nenda Profile ---- Advanced then click HTTP proxy server kama nilivyoonyesha kwenye image hapo chini:-

http+setting.jpg

2.Itatokea kama hivi:-

http+enabled.jpg

Wewe tick kwenye hicho kibox kuenable HTTP proxy server support then click OK

3.Click tena profile ila safari hii shuka hadi proxy servers na uclick hapo itatokea POp up kama hivi

http-yes.jpg

... Eka proxy address, port alafu tick HTTP (nilipozungushia Mduara) mwisho kabisa bonyeza OK
Hapo utakamua proxy kwa browser yoyote bila ya kuset tena Hata Idm uhitaji kuiseti
 
Kwa usafiri upi, basi la kijani ama lekundu?
 
Mkuu una serials za Proxifier v3.21
 
I prefer to set it manually in the browser and/or idm whenever i need to!
 
Mkuu una serials za Proxifier v3.21
chagua yoyote kati ya hizi tatu....
5EZ8G-C3WL5-B56YG-SCXM9-6QZAP
G3ZC7-7YGPY-FZD3A-FMNF9-ENTJB
YTZGN-FYT53-J253L-ZQZS4-YLBN9
 
Paje naona unataka kuvunja miundo mbinu baada ya kuona Guru yako imedoda. Poa lakini si ungeitoa chini ya kapeti?
 
No sio wivu bali nikujulishana tu hivyo sio vibaya kukumbusha mara ya mwisho tuliangukia wapi.

sio wivu bali nn?unajikumbusha ili iweje?na mbona una2mia maneno ya dharau kama KUDORORA?

Edit 2 post yako na uache maudhi.....wenye hela bado wanakamua we ndala 2 naendelea kujikumbusha 2

historically si ajabu ujawai hata ku2mia hii ki2
 
Njunwa hii sio vita kwamaana sukari guru au proxifier zote ni penyo tu, daraja livunjika kila mtu atatumia nauli halisi.
 
Paje naona unataka kuvunja miundo mbinu baada ya kuona Guru yako imedoda. Poa lakini si ungeitoa chini ya kapeti?

unakusudia hizo serial namba zitolewe kwa siri? zina mahusiano gani na miundo mbinu?? unashauri nizifute???
hizo ni serial tu usiwe pocho kama vile serial za antivirus au office na n.k
 
sio wivu bali nn?unajikumbusha ili iweje?na mbona una2mia maneno ya dharau kama KUDORORA?

Edit 2 post yako na uache maudhi.....wenye hela bado wanakamua we ndala 2 naendelea kujikumbusha 2

historically si ajabu ujawai hata ku2mia hii ki2

Anazani kuna kitu chabure dunia hii, watu wanakamua g ur u hadi raha.

Sent from my GT-S7562 using Tapatalk 2
 
wewe angalia usiingizwe mjini ,,,hii ni COPY N' PASTE we fanya ku right click hizi image afU "VIEW IMAGE INFORMATION" utaona ame copy kwenye blog gani http://2.bp.blogspot.com/-TVerUnz4Z6w/UXt62911NgI/AAAAAAAACAk/lIFBdj61WCo/s1600/http+setting.jpg
http+setting.jpg

Njiwa tatizo lako ni kukurupuka tu mangapi humu JF ni copy n' paste?
Kina Mzizimkavu, Chief-mkwawa na wengineo baadhi ya mada wanazopost huwa siyo Idea zao bali wanatoa kwenye Forums za wenzetu wa mbele ila yangu ndiyo imekuwa nongwa?
Kwa taarifa yako hizo image ni zangu mwenyewe na hiyo blog unayosema wala haipo nilishofanya ni kucreate kule then kuchukua link za image na kuweka humu baada ya kuona upload ya JF inazingua
 
Hapo kwenye red....umenichekesha.... walisoma HTML na BLOGGER watusaidie kama hicho ki2 kipo....AU kwanza ume hack hiyo BLOG uka ADMINISTRATOR...tupe link ya BLOG YAKO HIYO

Sisemi kuwa COPY N' PASTE ni mbaya ila tatizo hili hapa chini kwa red

Kaka hiyo hapo kwenye Red umechemka vibaya maana hiyo program inapiga mzigo bila ya kuitegemea guru

Hapo nakubaliana nawe mkuu ingawa ni mgeni humu lakini najitokeza kuunga kamba

Mkuu ulitakiwa ufafanue proxifier unaitumia vipi ili faida iwe kwa wote but wewe uliishia kujiuma uma tu.

Mimi natujibu live badala ya huyu msanii wa vichekesho

Kwa kumsaidia Kicheko, mkuu paje,hata mimi napingana nawe kwamba proxifier haiwezi kufanya kazi bila ya Guru kwa sababu nimejaribu kutafuta uhalali wa kauli ya DEVUQUARTER-DEVUKOTA kuwa hiyo software inaweza kutumika kivingine wakati wewe mletaji wa hiyo soft humu Jamvini unapinga hilo.
Ingawa sijajua DEVUQUARTER-DEVUKOTA anaitumia vipi ila kwa upande wangu nimeijaribu kwa proxy inapiga mzigo vizuri tu.
Ebu bofya hapo chini ujiridhishe.

https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/441323-proxifier-kwa-wale-wazee-wa-vichaka.html
 
Naweza pata msaada wa kuelewa zaizi hizi soft mbili java na proxifier na jinsi yakutumia!
 
hakuna cha maana hapo kaka! utasumbuka tu JF tumetupa siku nyingi sana kitu madude hayo.
 
Back
Top Bottom