Wapi nitapata kioo cha sony xperia z2

Wapi nitapata kioo cha sony xperia z2

SPYMATE

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2013
Posts
2,314
Reaction score
2,316
Wanabodi,
Nimeangusha simu tajwa hapo juu kioo kimepata ufa ila simu inawaka vizuri tu,
Tatizo ni kwamba touch screen inazingua nashindwa kufanya chochote hata kuswipe screen lock.
Wakati mwingine huwa inajibofya yenyewe so nadhani tatizo lipo kwenye digitizer.

Naomba mnishauri nifanyeje?
Kama kureplace je nitapata wapi hiyo digitizer na gharama inaweza fika Shilingi ngapi?

C.C Chief-Mkwawa ,@godfrey electronics @drphone wengineo msaada/ushauri wenu unahitajika
 
Wanabodi,
Nimeangusha simu tajwa hapo juu kioo kimepata ufa ila simu inawaka vizuri tu,
Tatizo ni kwamba touch screen inazingua nashindwa kufanya chochote hata kuswipe screen lock.
Wakati mwingine huwa inajibofya yenyewe so nadhani tatizo lipo kwenye digitizer.

Naomba mnishauri nifanyeje?
Kama kureplace je nitapata wapi hiyo digitizer na gharama inaweza fika Shilingi ngapi?

C.C Chief-Mkwawa , godfreyelectronics Dr.phone na wengineo msaada/ushauri wenu unahitajika

Uko mji gani?
 
Last edited by a moderator:
Andaaa laki na ufundi 20,follow on0715378899 dar
 
Njoo kariakooo ukishafika piga simu,wewe wa z2,hata wa note 3 km anahitaji sogea kariakoo,0715378899 piga hiyo namba
 
Aisee na mimi ninayo Sony Experia Z haiwaki. nilipeleka Sapna wakabadili software ila imegona kuwaka. unaweza kuiamsha usingizini ili iwake na iendelee kufanya kazi?
 
Nenda samora ukitokea picha ya askari baada ya sapna upande huohuo kabla ya kufika bookshop ulizia vijana wanaokaa kaa pale kwa fundi sele, atakusaidia. Mi kantengezea yangu muda sasa iko ok. Ghali kidogo but reliable
 
Inawezekana kaka,wew njooo PHONE CLINIC utapata hiyo huduma,0715378899
 
Kuzima kwake kulianzaje

nilikuwa naitumia niko instangram tena ikiwa na charge 60% ghafla ikazimika. nikiweka charge haikubali na haiwaki. Sapna wakasema ni software ila walipoleta mpya from Dubai bado ikagoma. tunaweza kuwasiliana 0783 232 984 kama unautaalam wa kuifufua
 
Nenda samora ukitokea picha ya askari baada ya sapna upande huohuo kabla ya kufika bookshop ulizia vijana wanaokaa kaa pale kwa fundi sele, atakusaidia. Mi kantengezea yangu muda sasa iko ok. Ghali kidogo but reliable
Kioo ni Original?
 
E-bay kinauza dola 1.2 sawa na Tsh. 2640 bila senti
 
Back
Top Bottom