Search results

  1. Nyamayao

    Nifanyaje juu ya hili jambo?

    Habari zenu nyote, naomba niwashirikishe kwa hili linalonisumbua kwasasa, Nilishawahi kusema humu kuhusu Baba yangu, Sasa huyu mzee kwasasa tunaambiwa ni mgonjwa sana, anahitaji watu wa karibu wa kumuangalia na misaada mingine ya matibabu, kwasasa hatupigii sisi simu bali anamtumia dada yake...
  2. Nyamayao

    Happy birthday to me jamani!

    happy birthday to nyamayao, namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kunipa uzima/afya tele mpaka leo hii nagonga miaka kadhaa chini ya hili jua, ups and downs kibao lakini amenipa ujasiri wa kupambana, akiniinua pale nilipojikwakaa na kuanguka na kunipa nguvu za kusonga mbele kwa ujasiri zaidi, my...
  3. Nyamayao

    Japo niridhike

    Ni rafiki yangu kipenzi sana, alikuwa na matatizo ya kumtosha na mume wake, mume alipata hawara akamfanya kama mke wa pili, kamjengea, kamfungulia biashara nzuri, yaani ni kama mke mdogo, wamezaa na mtoto 1, kipindi hicho my frnd alisota sana kwenye ndoa, manyanyaso yote aliyapata, mume aamua...
  4. Nyamayao

    Hata mimi nashangaa

    Ni mdogo wake na friend wangu, tuliyoisheherekea harusi mwezi May, ni jana my frnd ananical ananiambia mdogo wake karudi nyumbani(kwa wazazi). Mwanaume alisafiri kama 2 weeks kikazi, karudi jmoc ucku, mke kampokea kwa furaha zote kufurahia mume karudi na alim miss pia, mume yupo bathroom...
  5. Nyamayao

    ndio ndoa hizi

    ni yeye aliekuwa natuambia kaka zake wanatu cheat coz sisi wake zao hatuwa handle/wajali kama inavyopaswa ndio mana wanatoka nje, yeye mume wake hawezi kutoka nje coz anampa kila kitu anachostahili kupewa na mkewe ""mie huwa nashangaa sana kila wakati mkalalama kaka zangu wana cheat, kwanini...
  6. Nyamayao

    How men change

    The Love Word: After 6 weeks: I looo-ve you, n> I love you, I love you! After 6 months: Of course, I love you. After 6 years: If I don't love you, then what are you doing in my house? Back from Work: After 6 weeks: Honey, I'm home! After 6 months: I'm BACK!! After 6 years: Have you cooked...
  7. Nyamayao

    Tunaelekea wapi?

    habari zenu humu ndani, nadhani wote wazima wa afya na mmemaliza wkend salama, mie yangu ilikuwa mbaya sana tu..... ijumaa asubuhi nilipata call kutoka kwa sis wangu( mtoto wa mamkubwa) analia tu ananiambia ndio anapanda shuttle aje kwangu, hataki kuongea kilichomcbu akidai mpaka afike, alifika...
  8. Nyamayao

    Imeniuma sana

    ni frnd wangu wa kufa na kuzikana, ni yeye kila cku alikuwa ananicctiza kutoshika/jali cm ya mr akinisihi kama napenda nikae kwenye ndoa kwa amani nicjihucshe na mambo ya cm ya mr kama yeye anavyoiogopa cm ya mr wake, cjui juzi kitu kama kimemuingia wapo supermarket mr kasahau fone kwenye gari...
  9. Nyamayao

    nani wa kulaumiwa?

    ni rafiki yangu kipenzi, wamo ndoani mwaka wa 5 sasa, kuna cku frnd wetu mmoja alikuwa saloon, mdada wa saloon kama wanavyoeleweka tena wengi wao ni mapepe sana,akawa anapiga stori kwamba anatembea na mume wa mtu na makubaliano yao ni kwamba bao moja shs 30 elfu! ktk maongezi jamaa akamcal yupo...
  10. Nyamayao

    hivi kwa nini?

    walipokuwa wanakaribia kuoana, mwanamke alimuliza mchumbake(kwa wakati huo) kama ana watoto/mtoto nje ili awe analijua hilo na angependa wamchukue waishi pa1, mwanaume alisema ana 1 wa kiume! wameoana miaka mi4 iliyopita wanaishi na huyo mtoto pa1 na wakwake wa kike, anampenda mtoto wa kiume...
  11. Nyamayao

    Jamani wanaume!

    Walikuwa wapenzi kwa muda wa mwaka1! wakaja kutofautiana na kutengana kwa mwaka mzima,kila mtu alishika lake, baadae wakakutana waka solve prblm zao wakarudiana, mapenzi moto moto tukatangaziwa uchumba tukaenda kula vinono, wakawa wanaishi pa1 kama wachumba wakiweka sawa mipangilio ya ndoa...
  12. Nyamayao

    hajielewi

    wapo katika ndoa kwa miaka 4 sasa, wamejaaliwa baby gal, mume alikaa muda mrefu sana bila ya kazi coz kule alikokuwa anafanya alipata matatizo akafukuzwa kazi, kapelekwa shule kwa pesa ya mkewe, katafutiwa kazi nzuri na mkewe walikuwa na maisha mazuri/maelewano na kila jema, mume kaanza...
Back
Top Bottom