ndio ndoa hizi

Nyamayao

JF-Expert Member
Jan 22, 2009
6,966
2,352
ni yeye aliekuwa natuambia kaka zake wanatu cheat coz sisi wake zao hatuwa handle/wajali kama inavyopaswa ndio mana wanatoka nje, yeye mume wake hawezi kutoka nje coz anampa kila kitu anachostahili kupewa na mkewe ""mie huwa nashangaa sana kila wakati mkalalama kaka zangu wana cheat, kwanini hamjiulizi why wanawa cheat ili mrekebishe tatizo?..mwanaume mwenye kujaliwa na mkewe hawezi kum cheat hata cku 1"...ni maneno ya kashfa ya mdogo wake na mr aliyokuwa anatuambia wakati kaka zake walipokuwa wanatufanyia maruwe ruwe... huwa anasema mume wake ni kwa ajili yake tu, na kila binadamu anaewajua huwa wanajua kwamba wao wawili wameumbwa kwa matumizi ya wao wawili tu, ni j5 nimefika home ucku, cm ya mr inaingia mtu anash2ka kuambiwa dadake yupo I.C.U.... ni kwamba alikuwa safari kikazi dar, nia yake arudi kwake arusha kwa kum surprise mumewe, kafika home kaingia sitting room kamkuta mume na binti anaemsaidia kazi hapo home (ni binti wa mjomba wake kabisa) wapo dunia nyingine, kabisa, wifi alipiga yowe na kuzirai hapo hapo, kakimbizwa Selian hosp muda mfupi kahamishiwa I.C.U...alhamic nilifunga safari kwenda kumuuguza coz mama mpaka atoke shy, maendeleo sio mabaya jana katolewa I.C.U, asubuhi nilimcal mke wa mdogo wake mr ambae ndio anamwangalia kwasasa akasema mambo sio mabaya, kilichonishangaza ni jana asubuhi kaamka vizuri na kuanza kutuomba hayo mambo yaishie kifamilia hataki ma colleague/majirani wajue hilo jambo coz hawatamuelewa na wanajua mr wake ni mwema/safi kabisa na hata hivyo juzi ameteleza tu"... mr jana ndio kajitokeza hosp binti hajulikani alipo, mke anasema bado anampenda sana mumewe, mama amefika jana anasema hataki mtoto wake arudi kwenye hiyo ndoa, makaka wanatutolea macho tu, wakati wenzie ndio tumemaliza misuko suko kama hiyo yeye ndio anaianza tena kwa vibaya kabisa, unaingia moyoni kwa mtoto wa mwanamke mwenzio ukiwa umevaa kandambili mchezo? .....nitarudi.
 
Huyo wifiyo angekuwa anaifahamu necha vizuri wala asingepata mapresha yote hayo.

Ni hivi:

Mwanamke ameumbwa kwa ajili ya mwanaume mmoja ila mwanaume ameumbwa kwa ajili ya wanawake wengi... Ukishalijua hili na kulikubali nakuliamini, na kulitenda, haya mambo wala hayatakuumiza.... Mfundishe wifiyo kanunu hii na afya yake itarejea sawia!!!
 
Naona wifi yako maneno yanamrudia mwenyewe ndo maana anaona aibu kwa yaliyotokea tena kwa HG

Sasa hapo infidelity is there to stay au?:fish2:
 
Huyo wifiyo angekuwa anaifahamu necha vizuri wala asingepata mapresha yote hayo.

Ni hivi:

Mwanamke ameumbwa kwa ajili ya mwanaume mmoja ila mwanaume ameumbwa kwa ajili ya wanawake wengi... Ukishalijua hili na kulikubali nakuliamini, na kulitenda, haya mambo wala hayatakuumiza.... Mfundishe wifiyo kanunu hii na afya yake itarejea sawia!!!

\nitamfundishaje wakakti yeye ndio anataka kutufundisha cc?...miaka 2 unataka kumfundisha wa miaka 6?
 
Naona wofo yako maneno yanamrudia mwenyewe ndo maana anaona aibu kwa yaliyotokea tena kwa HG

Sasa hapo infidelity is there to stay au?:fish2:

tena ni ndugu( mtoto wa mjombake)...hapo wao cjui wana mila gani kuvunja hiyo kitu, kwa cc wachaga Asprin anaelewa hapo kungekaa mkao wa kula mbuzi na mbege.
 
Naona wofo yako maneno yanamrudia mwenyewe ndo maana anaona aibu kwa yaliyotokea tena kwa HG

Sasa hapo infidelity is there to stay au?:fish2:
Anyway, nimekuelewa, leo si jumatatu?
 
ICU............aisee usimsemeee mtu na mdomo wake namacho yake na mtarimbo wake tena mzima kabisa!!!

huo ndo mshangao alopata baada ya kuona rangi halisi za the so thought to be an angel!!!
 
Wifi lazima azirai!

Hakujua Kama mwanamme usimpe guarantee! Lol

wazee wa zamani hawakukosea.... Usirudi kwaki usiku na hakikisha unatoa taarifa ya ujio wako mapema
 
ndio maana sipendi kabisa mambo ya 'sapraizi' unaweza kujikuta kuzimu buree!!!
 
ICU............aisee usimsemeee mtu na mdomo wake namacho yake na mtarimbo wake tena mzima kabisa!!!

huo ndo mshangao alopata baada ya kuona rangi halisi za the so thought to be an angel!!!

BHT kwenye haya mambo ya mahusiano hutakiwi kumwamini mtu asilimia 100, unachokifikiria wewe juu yake ni tofauti na yeye anavyokufikiria...kuepusha haya mabo ni bora uwe 50-50 tu, mdada haamini kilichotokea coz kutoka moyoni mwake aliamini mwanaume ameumbwa kwa ajili yake tu...wenzake tulipokuwa na hiyo mishuko suko hatukuumwa hata mafua, ijekuwa kuzirai?
 
aisee!!!!!!!!!! kwa hiyo sasa ni kweli Iribini anavosema mwanamke ameumbwa kwa ajili ya mwanume 1 lakini mwanaume ni kwa wanawake wengi?
 
Huyo wifiyo angekuwa anaifahamu necha vizuri wala asingepata mapresha yote hayo.

Ni hivi:

Mwanamke ameumbwa kwa ajili ya mwanaume mmoja ila mwanaume ameumbwa kwa ajili ya wanawake wengi... Ukishalijua hili na kulikubali nakuliamini, na kulitenda, haya mambo wala hayatakuumiza.... Mfundishe wifiyo kanunu hii na afya yake itarejea sawia!!!

hahah... kuna ka-ukweli isi fulani napo kwenye bold...... hofu yangu utasababisha ma-she warudi beijing kutengeneza credo!!... na ndipo itakapokuwa kaazi kwelikweli!
 
Wifi lazima azirai!

Hakujua Kama mwanamme usimpe guarantee! Lol

wazee wa zamani hawakukosea.... Usirudi kwaki usiku na hakikisha unatoa taarifa ya ujio wako mapema

jana asubuhi alikuwa analia anasema haamini kama mume wake alishindwa hata kutafuta mwanamke mwingine huko nje mpaka afanyie ndani, tena na ndugu yake""siamini kabisa kama (fulani)kanifanyia hivi...lakini ameteleza tu"...yaani analia na kujifariji mwenyewe.
 
Hata siku moja sitafungua mdomo wangu kuisemea ndoa ya mtu na – deal na yangu tu haya mambo Hayasemewi hata kidogo..Mpe pole muulizo wifi kulikoni kumbe na wewe kuna mambo huwa humfanyii mmeo...?
..usiusemee moyo wa mwenzio
 
aisee!!!!!!!!!! kwa hiyo sasa ni kweli Iribini anavosema mwanamke ameumbwa kwa ajili ya mwanume 1 lakini mwanaume ni kwa wanawake wengi?

huo usemi mie ctaki kukubaliana nao lakini ndio mambo yanayotukumba kila kukicha.
 
Hata siku moja sitafungua mdomo wangu kuisemea ndoa ya mtu na – deal na yangutu haya mambo Hayasemewi hata kidogo..Mpe pole sana akiamka muulizo wifi kulikoni kumbe na wewe kuna mambo huwa humfanyii mmeo...?
..usiusemee moyo wa mwenzio
 
mmemsikia JK akimsifia Bilali kuwa ni shababy kwelikweli? basi wale wasiotosheka na nyama ya aina moja na wawe mashababy.... kama temporary solution...!! wanawake punguzeni wivu, waruhusuni waume zenu kwa moyo mweupe wawe mashababy....
 
Huyo wifiyo angekuwa anaifahamu necha vizuri wala asingepata mapresha yote hayo.

Ni hivi:

Mwanamke ameumbwa kwa ajili ya mwanaume mmoja ila mwanaume ameumbwa kwa ajili ya wanawake wengi... Ukishalijua hili na kulikubali nakuliamini, na kulitenda, haya mambo wala hayatakuumiza.... Mfundishe wifiyo kanunu hii na afya yake itarejea sawia!!!

aisee!!!!!!!!!! kwa hiyo sasa ni kweli Iribini anavosema mwanamke ameumbwa kwa ajili ya mwanume 1 lakini mwanaume ni kwa wanawake wengi?
:humble:

huo usemi mie ctaki kukubaliana nao lakini ndio mambo yanayotukumba kila kukicha.
:mad:

hahah... kuna ka-ukweli isi fulani napo kwenye bold...... hofu yangu utasababisha ma-she warudi beijing kutengeneza credo!!... na ndipo itakapokuwa kaazi kwelikweli!
:closed_2:
 
mmemsikia JK akimsifia Bilali kuwa ni shababy kwelikweli? basi wale wasiotosheka na nyama ya aina moja na wawe mashababy.... kama temporary solution...!! wanawake punguzeni wivu, waruhusuni waume zenu kwa moyo mweupe wawe mashababy....

The Following User Says Thank You to Akili Kichwani For This Useful Post:

Asprin (Today)​
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom