Tunaelekea wapi?

Nyamayao

Nyamayao

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2009
Messages
6,969
Likes
30
Points
145
Nyamayao

Nyamayao

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2009
6,969 30 145
habari zenu humu ndani, nadhani wote wazima wa afya na mmemaliza wkend salama, mie yangu ilikuwa mbaya sana tu.....
ijumaa asubuhi nilipata call kutoka kwa sis wangu( mtoto wa mamkubwa) analia tu ananiambia ndio anapanda shuttle aje kwangu, hataki kuongea kilichomcbu akidai mpaka afike, alifika mchana mr ndio alienda kumpokea me nilikuwa nina kikao job, mr akani sms kuwa dadako huku analia tu hataki kuongea lolote mpaka utakapofika...nimefika home bado analia tu nikamuacha apoe then akaniomba tuingie room anielezee....jamani huyu sis wangu ana matatizo ya muda mrefu na mr wake imefikia mr hampi haki ya ndoa ni miezi 9 sasa, na mr anasema anataka kuoa tena amempata blandina binti portable na virgin sio yeye sis aliemkuta kasha2mika...ni ugomvi kila kukicha hapo kwao..maelezo ya sis ni kwamba" nilivyoona hivyo ikabidi na mie niwe na bfnd wa kukidhi haja yangu" j5 last week mr alirudi home na ugomvi wake wa kila wakati.... mr alikuwa amesha spy akajua mke wake anatoka nje ya ndoa, kesho yake alhamic sis akiwa job akapata msg kutoka kwa aliedhani ni bfrd wake" njoo hotel ile ile na room ile ile kuna mzigo nataka kukupa coz nasafiri, nimetumia no hii coz no yangu imeji block"...sis kaenda hana ajualo kufika kaingia room, anaingia tu akashangaa mlango umefungwa kwa nguvu kushangaa mfungaji ni mume wake....ugomvi mkubwa huko room, mr akamwambia kama umekuja huku ukiwa kwenye hali hii(period) ina maana huyo mtu wako unaekujaga nae hapa unampaga mchezo mwngne, sasa na me leo utanipa kwa nguvu...alifanya ya kufanya mpaka sis alizimia(ana athma)....mr akatoweka akiona imekuwa kasheshe, alizinduka hapo akamcal frnd wake wa karibu akaenda kumsaidia akalala kwake asubuhi ndio akapanda shuttle kuja huku...nimechoka jamani...hivi hapa mtaamuaje hili suala mana mie mwenzenu nimechoka kabisa..... nimechoka mwili na roho.
 
Fidel80

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Messages
21,970
Likes
140
Points
145
Fidel80

Fidel80

JF-Expert Member
Joined May 3, 2008
21,970 140 145
Nyamayao sis wako hajatulia mwambie apunguze uzungu sio kila mwanaume anapenda uzungu.
Alichokosea sana kutafuta mwanaume awe anammega na jamaa kajua hapo ndipo alipo haribu sis wako.
Kama jamaa alikuwa anambania kummega kwa nn asinge jichunguza kwa nn Mr. ake kamchoka labda mauntundu kapunguza? au hajitumii au zile za dhahabu kiunoni havai.
Huyo sis wako kakosea sana nae kulipiza baya kwa ubaya ningekuwa mm hapo ningemzaba vibao kwa ujinga alio fanya nae kutoka nje ya ndoa.
 
MwanajamiiOne

MwanajamiiOne

Platinum Member
Joined
Jul 24, 2008
Messages
10,476
Likes
97
Points
145
MwanajamiiOne

MwanajamiiOne

Platinum Member
Joined Jul 24, 2008
10,476 97 145
nyamayao pole sana duh inatisha sana ila namlaumu huyo sis wako kwa nini akaamua kulipa kisasi? Aliponyimwa si angesema kwa wazee badala ya kumtafuta serengeti? Hakunaga siri kwenye dhambi kama hizo nyamayao ni wazi tu kuwa mr angekujagundua!

Sasa ikitokea Mr amerudi akajitetea kuwa alifanya vile kwa sababu ya hasira baada ya kugundua kuwa mkewe anamegwa nje (na akatoa ushahidi) mtakuwa na la kumlaumu?

mie bwana ndo maana nasema likikuonyeshea live kuwa linacheat- bora end that relationship kabisa kuliko kutafuta kisasi. Am sorry

By the way nakuja nai nitakuonaje?
 
carmel

carmel

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2009
Messages
2,840
Likes
14
Points
135
carmel

carmel

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2009
2,840 14 135
Pole sana. huyo baba kwa hiyo alimla tigo kwa nguvu? kweli hiyo ndoa tena inahitaji uponyaji wa Mungu. Mara nyingi kulipiza kisasi kiivyo si vizuri maana at the end of the day hakuna atakayekuelewa (mwanamke) japokuwa mwanaume kila mtu atamwelewa. ooh, maskini alitegwa vibaya, halafu hata kama tamaa za mwili wake zilikuwa zimemwaka sana si angetafuta bf wa mbali lets say Dar (kama yuko moshi/arusha) sasa yaye anakuwa na rijamaa hapohapo akidhani haitajulikana? Japokuwa sikubaliani kabisa na alichotendewa na mumewe, bado sikubaliani na alichofanya yeye. Kwa sasa, ajiandae tu ku move opn na life yake just in case suluhisho halikupatikana.
 
Nyamayao

Nyamayao

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2009
Messages
6,969
Likes
30
Points
145
Nyamayao

Nyamayao

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2009
6,969 30 145
nyamayao pole sana duh inatisha sana ila namlaumu huyo sis wako kwa nini akaamua kulipa kisasi? Aliponyimwa si angesema kwa wazee badala ya kumtafuta serengeti? Hakunaga siri kwenye dhambi kama hizo nyamayao ni wazi tu kuwa mr angekujagundua!

Sasa ikitokea Mr amerudi akajitetea kuwa alifanya vile kwa sababu ya hasira baada ya kugundua kuwa mkewe anamegwa nje (na akatoa ushahidi) mtakuwa na la kumlaumu?

mie bwana ndo maana nasema likikuonyeshea live kuwa linacheat- bora end that relationship kabisa kuliko kutafuta kisasi. Am sorry

By the way nakuja nai nitakuonaje?

sawa hapa cmtetei sis, lakini mbona huyu mwanaume kila kukicha wimbo wake ni kuwa lazima aoe binti ki portable na alimtoa yeye virgin sio sis aliemkuta kashatumika, hivi hata mgombane vipi ndani haya maneno ya kashfa kwanini amtolee? na hapo hapo mpaka ndugu wa mume wanamjua huyo binti ki portable na anafikaga mpaka kwa mamkwe, jamani.....nitaku pm ma no dear.
 
Teamo

Teamo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2009
Messages
12,286
Likes
65
Points
145
Teamo

Teamo

JF-Expert Member
Joined Jan 9, 2009
12,286 65 145
mh!namna hii kweli dunia imekwisha
 
Nyamayao

Nyamayao

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2009
Messages
6,969
Likes
30
Points
145
Nyamayao

Nyamayao

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2009
6,969 30 145
Nyamayao sis wako hajatulia mwambie apunguze uzungu sio kila mwanaume anapenda uzungu.
Alichokosea sana kutafuta mwanaume awe anammega na jamaa kajua hapo ndipo alipo haribu sis wako.
Kama jamaa alikuwa anambania kummega kwa nn asinge jichunguza kwa nn Mr. ake kamchoka labda mauntundu kapunguza? au hajitumii au zile za dhahabu kiunoni havai.
Huyo sis wako kakosea sana nae kulipiza baya kwa ubaya ningekuwa mm hapo ningemzaba vibao kwa ujinga alio fanya nae kutoka nje ya ndoa.
fidel mautundu sio kila kitu kwenye ndoa, ndoa ni mzunguko wa mambo mengi, kama kayapunguza nani wa kumsaidia kuyarudisha kama sio huyo mr wake?
 
Fidel80

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Messages
21,970
Likes
140
Points
145
Fidel80

Fidel80

JF-Expert Member
Joined May 3, 2008
21,970 140 145
nifafanulie fidel plz, uzungu upi hapo?
Wakushindwa kuvumilia akaamua nae atafute kaserengeti boyz kawe kanamkuna.
Si angevumilia tu alafu afuate taratibu za kuachana kuliko kulazimisha penzi anaweza jikwaa maugonjwa hivi hivi.
 
Fidel80

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Messages
21,970
Likes
140
Points
145
Fidel80

Fidel80

JF-Expert Member
Joined May 3, 2008
21,970 140 145
fidel mautundu sio kila kitu kwenye ndoa, ndoa ni mzunguko wa mambo mengi, kama kayapunguza nani wa kumsaidia kuyarudisha kama sio huyo mr wake?
Hahahaha nakwambia ugomvi wowote unapo zuka lazima kuna source yake.
 
Nyamayao

Nyamayao

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2009
Messages
6,969
Likes
30
Points
145
Nyamayao

Nyamayao

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2009
6,969 30 145
Pole sana. huyo baba kwa hiyo alimla tigo kwa nguvu? kweli hiyo ndoa tena inahitaji uponyaji wa Mungu. Mara nyingi kulipiza kisasi kiivyo si vizuri maana at the end of the day hakuna atakayekuelewa (mwanamke) japokuwa mwanaume kila mtu atamwelewa. ooh, maskini alitegwa vibaya, halafu hata kama tamaa za mwili wake zilikuwa zimemwaka sana si angetafuta bf wa mbali lets say Dar (kama yuko moshi/arusha) sasa yaye anakuwa na rijamaa hapohapo akidhani haitajulikana? Japokuwa sikubaliani kabisa na alichotendewa na mumewe, bado sikubaliani na alichofanya yeye. Kwa sasa, ajiandae tu ku move opn na life yake just in case suluhisho halikupatikana.
carmel hata mie ckubaliani na hatua sis aliyoifanya, lakini kinachoniuma kwanini mr amfanyie haya? angempa adhabu nyingine jamani....
 
Fidel80

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Messages
21,970
Likes
140
Points
145
Fidel80

Fidel80

JF-Expert Member
Joined May 3, 2008
21,970 140 145
carmel hata mie ckubaliani na hatua sis aliyoifanya, lakini kinachoniuma kwanini mr amfanyie haya? angempa adhabu nyingine jamani....
Sasa Nyamayao ulimwambia sis wako alicho fanya ni kitu cha kijinga kulipiza baya kwa ubaya. Sasa kamegwa nini alicho pata si angejinyamazia aendelee na mikakati ya kumrudisha mme ndani ya ndoa.!!
 
Kaizer

Kaizer

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2008
Messages
24,949
Likes
1,974
Points
280
Kaizer

Kaizer

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2008
24,949 1,974 280
mmh! mbona maisha yamekuwa hivi jamani

mi hata sijui nisemeje hapa

vipi hivi wana watoto au? manake sijui watarepeaje huo uhusiano wa ivyo?
Mi nashauri watengane kwa muda kila mtu akae kwake kwanza watafakuri!
 
Nyamayao

Nyamayao

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2009
Messages
6,969
Likes
30
Points
145
Nyamayao

Nyamayao

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2009
6,969 30 145
Hahahaha nakwambia ugomvi wowote unapo zuka lazima kuna source yake.

sawa kabisa, hii ndoa ilikuwa inayumba sana toka muda mrefu, ishu ikitokea sis anakimbialia kwa mamkwe wake, mr akija wanasuluhishwa ki juu juu hapo wanaendelea na lyfe la kuyumba yumba hivyo hivyo, nilikuwa namwambia hivi unavyokimbilia kwa mamkwe unategemea utapata suluhu la kumaliza mgogoro wako?...."mtoto kwa mamaye jamani"
 
Edson

Edson

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2009
Messages
9,260
Likes
823
Points
280
Edson

Edson

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2009
9,260 823 280
badala ya kutafuta suluhu ya matatizo yake na yeye akatafuta mtu wa kumpoza, mpaka mwanaume anajua chumba unachofanyia upuuzi!!

dada yako hajatulia.atakuwa ana matatizo flani, na huenda yeye ndo alianza kupata bwana wa nje na mumewe akagundua na ndipo akasitisha huduma. MUULIZE VIZURI DADA YAKO
 
vivian

vivian

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Messages
1,731
Likes
52
Points
145
vivian

vivian

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2009
1,731 52 145
pole dada ila. ? ? ? ?.
Mumeo akikunyima unyumba unatafuta kidum kweli?
I gues hicho kidumu alikua nacho Tangu Mwanzo na ndo maana Mr. akasusa.
But she is really bad Behaved!!!! Hiyo ni tabia Chafu mno. Ndo maana nasema Ukimwi utafyagia kizazi chote hiki come 2050.
 
Nyamayao

Nyamayao

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2009
Messages
6,969
Likes
30
Points
145
Nyamayao

Nyamayao

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2009
6,969 30 145
mmh! mbona maisha yamekuwa hivi jamani

mi hata sijui nisemeje hapa

vipi hivi wana watoto au? manake sijui watarepeaje huo uhusiano wa ivyo?
Mi nashauri watengane kwa muda kila mtu akae kwake kwanza watafakuri!

wawili, mama wa binti nae amekuja juzi, ameshasema ataivunja hiyo ndoa kwa gharama yoyote ile...... inavyosemekana mr kachukua watoto wake na yeye mwenyewe kahamia kwa mamake....
 
MwanajamiiOne

MwanajamiiOne

Platinum Member
Joined
Jul 24, 2008
Messages
10,476
Likes
97
Points
145
MwanajamiiOne

MwanajamiiOne

Platinum Member
Joined Jul 24, 2008
10,476 97 145
sawa hapa cmtetei sis, lakini mbona huyu mwanaume kila kukicha wimbo wake ni kuwa lazima aoe binti ki portable na alimtoa yeye virgin sio sis aliemkuta kashatumika, hivi hata mgombane vipi ndani haya maneno ya kashfa kwanini amtolee? na hapo hapo mpaka ndugu wa mume wanamjua huyo binti ki portable na anafikaga mpaka kwa mamkwe, jamani.....nitaku pm ma no dear.
nyamayao mpenzi unajua kuna kitu kimoja. Mwanaume akishadevelop love kwa mtu mwingine wewe unabakia lidudu kwake, huna thamani tena na hata akiambiwa akuuwe anaweza kwa kuwa unamzibia kufaidi kule anakodhani anafaidi kuliko- so mtu huyu anakuwa amedevelop roho ya kishetani na atakuwa tayari kukufanyia lolote akumalize au akuumize

Chukulia mfano mdogo tu- mmegombana na mr mnaitwa vikaoni, kwa mwanaume ni rahisi kutengeneza uongo (kama mke hana kosa) ili mradi aonekane yeye ni safi kuliko wewe. tuna roho za tofauti mpenzi wangu

So sishangai kwa huyo mwanaume kuwa mnyama yaani lengo lake lilikuwa kumkomoa tu sis wetu.
 
Nyamayao

Nyamayao

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2009
Messages
6,969
Likes
30
Points
145
Nyamayao

Nyamayao

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2009
6,969 30 145
pole dada ila. ? ? ? ?.
Mumeo akikunyima unyumba unatafuta kidum kweli?
I gues hicho kidumu alikua nacho Tangu Mwanzo na ndo maana Mr. akasusa.
But she is really bad Behaved!!!! Hiyo ni tabia Chafu mno. Ndo maana nasema Ukimwi utafyagia kizazi chote hiki come 2050.

kwa maelezo yake ni hapana! alivyoona miezi inakatika ndio akakurupuka na mtu hapo jengoni anapofanyia kazi.....
 
Forum statistics

Threads 1,249,747
Members 481,045
Posts 29,710,275