nani wa kulaumiwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nani wa kulaumiwa?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nyamayao, Aug 14, 2009.

 1. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #1
  Aug 14, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  ni rafiki yangu kipenzi, wamo ndoani mwaka wa 5 sasa, kuna cku frnd wetu mmoja alikuwa saloon, mdada wa saloon kama wanavyoeleweka tena wengi wao ni mapepe sana,akawa anapiga stori kwamba anatembea na mume wa mtu na makubaliano yao ni kwamba bao moja shs 30 elfu! ktk maongezi jamaa akamcal yupo hapo nje salon, huyo frnd wetu ktk kufatilia stori ikabidi na yeye ahamacke kumchungulia huyo jamaa anaezungumziwa, hamadi ni mr wa frnd wetu, akaja kutuelezea, cku nyingine wife akaenda mwenyewe pale saloon ktk kutengenezana nywele wife akamwambia yule mdada wa saloon" we c mjanja bwana unatembea na mume wangu kwa 30 elfu kwa bao lakini nakuhakikishia nitakuhamisha mji! ugomvi ukawa mkubwa mpaka watu wakaamulia, alivyorudi home mume akataka unyumba mke akamwambia mie kwangu ni laki kwa bao, mume akajua dili limebumburuka wakagombana vibaya na mume akakiri kweli alifanya hivyo na akaahidi kumwacha huyo kimada, baada ya muda kumbe wanaendelea na kimada, mke akashikwa na hacra na yeye akatafuta mtu wake nje, mapenzi yamekuwa moto moto, mke kanogewa na mume kashajua na anamfuataga huyo mkaka mara kibao kumletea fujo lakini mke amesema wateseke wote sio yeye tu, na unyumba ndani ndio mke hataki kumpa mpaka na yeye alipwe laki kwa bao, jana frnd ananical ananiambia wametengana na mr wake kwa kisa hiki mana mr wake anasema wife anamdharau na wife anasema "ulianza wewe mie namalizia"......nani wa kulaumiwa?......
   
 2. J

  Joyceline JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 1,010
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  wote wawili ni wa kulaumiwa,
  Kwanza kwa mume kutembea nje ya ndoa yake na kupoteza pesa nyuingi huko.
  Kosa lake la pili laikanywa lakini bado akaendelea kwa siri

  Mke naye ana makosa kwa kuamua kulipiza, angetafuta njia nyingine ya kutatua huo mgogoro badala ya kuchukua uamuzi kama huo, angeenda kuwaona wazee, mshenga viongozi wao wa dini kwa ufumbuzi.
  Lakini sasa hta wakiamua kusuluhishana mwananmke ataonekana ana makosa kwamba kama ulijua kwa nini hukuja kusema, halafu yule ni mume wake wa ndoa asingetakiwa kumlipisha, labda angemwambia watumie kinga ndo lingekuwa la maana kwa sababu hamuamini tena.
  Kutengana siyo suluhisho hata huyo aliyenaye akitoka nje na yeye atatafuta mwanume mwingine? si atamaliza dunia nzima.
   
 3. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #3
  Aug 14, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  hakutaka kwenda kushtaki popote mana anasema ndoa ni ya wawili yakikushinda ni ishu ya kuanza maisha mengine, na kinachomuumiza zaidi ni kwamba yeye akipata tatizo na kumuomba mr wake msaada huwa hapewi au ama ni laki atapewa 30 au 40 huo ni mfano tu lakini nje anatoa 30 kwa bao na maelezo ya mdada wa saloon jamaa anaenda bao 3, so ni 90 wakati yeye pesa ya mr wake anaickilizia bombani.....
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Aug 14, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Nyamayao huyo rafiki yako mjinga kweli kwa hiyo analipiza kisasi???
  Mjinga mwambie watu hawaendi hivyo lazima ajichunguze kwa nini mmewe anakubali kutoa elfu 30/= kwa bao? Basi anapata kitu adimu kutoka kwa huyo dada wa saloon.
   
 5. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #5
  Aug 14, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  dada huyo wifi yetu naye kiboko? kwa nini amekubali kulipiza katika mapenzi? angekaa na mumewe amweleze yote anayoyajua kisha aulize mapungufu yake
   
 6. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #6
  Aug 14, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,798
  Likes Received: 2,470
  Trophy Points: 280
  wa kulaumiwa ni huyo mdada(mke wa shemeji yetu)
   
 7. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #7
  Aug 14, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  ndio ameshalipiza na anasema hajutii maamuzi yake hata kidogo, na ataendelea na maisha yake kuliko maisha ya ndoa mana yameshamshinda, nilivyoona mie mdada alikuwa anatafuta njia ya wazi wazi ya kuachana na mumewe, mana wamevumiliana kwa mengi, ndoa ikiwa na mwaka jamaa alikutwa mchana na mkewe wakijivinjari chumbani kwa house gal, mdada alihuzunika sana akaombwa msamaha yakaisha, baada ya muda kidogo akackia jamaa ana mrembo na ana mimba, hajakaa sawa anaambiwa jamaa anatembea na sekretari wake, mara mrembo wa saloon, naona akayajumlisha akaamua na kutoa hapo hapo....
   
 8. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #8
  Aug 14, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Nyamayao!

  Kwa kuanzia mwanaume alikuwa na makosa ila jinsi mwanamke alivyolibeba tatizo na kutatua haikutakiwa kuwa hivyo japo hasira na jazba hazikosekani ukiwa umekwazika tena kimapenzi..
  Kushindana/kukomoana kunabomoa siyo kujenga ndoa na mahusiano.
   
 9. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #9
  Aug 14, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  ameshamkalisha chini sana tu kwa kweli na mie mwenyewe nikiwa shahidi....mdada ana akili ya maisha sana na mie mwenyewe nikamwambia hii rafu kwa ninavyokujua umeicheza ili ndoa ife kibudu, akaniambia ni kweli yaani nimetafuta kitu ambacho ctaki 2je aniombee msamaha wa kurudiana wala nini na hata akienda kuwaelezea ndugu zake nao wamwonye kunirudia....
   
 10. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #10
  Aug 14, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Dah jamaa kweli kidume kweli kweli anatembeza sana bakora kha!
  Hehehe anakunywa sana supu ya pweza nini au ndo mambo ya matikiti kwa wingi Nyamayao?
   
 11. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #11
  Aug 14, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  yaani ujue kweli tunawavumilia kwa mengi luv.....nadhani ni mambo ya matikiti hayo mashine 24 hrs ipo kazini...lol
   
 12. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #12
  Aug 14, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Basi kama lengo ni hilo basi kawin shost wako maana hapo the game is over-
   
 13. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #13
  Aug 14, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  teh teh teh teh dah si mchezo naona jamaa anapenda radha tofauti tofauti akipiga mwenye kiportable atataka tall mwenye wowowo baada ya huyo atakata white slim baada ya huyo atataka bonge nyakyusa type hehehe.
   
 14. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #14
  Aug 14, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  yaani game over kabisaaaa...anasema na yule mkaka anamwacha mana alikuwa hahitaji mapenzi na alichokitaka kimefanikiwa.... anaanza maisha moja.
   
 15. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #15
  Aug 14, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,798
  Likes Received: 2,470
  Trophy Points: 280
  Tamwachaje kwani mkaka alikuwa anajuwa lengo la huyo dada au walikubaliana kuwa zoezi nikufanikisha hilo suala au hakunogewa au hakumpa?

  Mbona hapo anajikang'ang'anya tu maake siyo rahis kuvunja na kukaa kwa kuwa yule aliyenaye mpya hawjagombana.
   
 16. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #16
  Aug 14, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  mkaka alikuwa hajui lengo la huyo mdada, na sio kwmba mapenzi yao yalikuwa na muda mrefu, hapana! sema yalikuwa ya wazi bila kificho, viwanja wanavyoenda ma frnd wa mume na yeye ndio anaenda na mkaka hivyo hivyo ndio mana ishu ikajulikana mapema.....
   
 17. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #17
  Aug 14, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  wa kulaumiwa mwanamke.....huwezi kumtoza kilo nzima kwa bao.....angefanya hata 35k....
   
 18. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #18
  Aug 14, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Luv kama huyo dada mwenyeji wa Tanga au kusini i mean Lindi na Mtwara p'se ni PM.
   
 19. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #19
  Aug 14, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  jamaa hilo ndio alikuwa hataki kulickia kabisaaaa, na wife ndio ameshikilia bango kabla ya sex nishikishe laki, mbona huko kwingine ukiambiwa unatoa?
   
 20. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #20
  Aug 14, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  huyo mke wake basi angepunguza bei iwe 30k kama kwa hawara......
   
Loading...