hivi kwa nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hivi kwa nini?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nyamayao, Apr 3, 2009.

 1. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  walipokuwa wanakaribia kuoana, mwanamke alimuliza mchumbake(kwa wakati huo) kama ana watoto/mtoto nje ili awe analijua hilo na angependa wamchukue waishi pa1, mwanaume alisema ana 1 wa kiume! wameoana miaka mi4 iliyopita wanaishi na huyo mtoto pa1 na wakwake wa kike, anampenda mtoto wa kiume kama wa kwake wa kumzaa, alianza kuckia tetec kwamba mume wake anatembea na mdada fulani kuulizwa mwanaume kakanusha, akackia mdada mjamzito baadae kajifungua mtoto wa kiume kumbe ni wa mumewe(awali alikana kumtambua huyo binti), jana mwanaume anamwambia kuna mtoto inabidi aje aishi pale coz amekorofishana na huyo mama wa mtoto( amemfumania) sasa anataka amlete hapo waishi pa1 ili aachane kabisa na huyo binti wa nje, mwanamke hajui cha kufanya anasema yeye kwa nini alee tu watoto wa wenzie na usumbufu kila kitu na ka baby bado miezi 4 kaingize 2yrs, aliniomba ushauri na mcmamo wangu cku zote hata kwa mr ni huu:

  mie pia naishi na mtoto wa mr niliemkuta nae, but nilishamwambiaga mr, mtoto chini wa huyu wangu wa kumzaa ctampokea nyumbani kwangu umtafutie makazi yake, naishi na huyo niliemkuta coz nilimkuta,so mie nikamwambia hapo cna cha kukushauri mana kwangu icngewezekana kumchukua huyo mtoto.

  naomba 2msaidie.
   
 2. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2009
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,214
  Trophy Points: 280
  Wanaume hawa jamani jamani mtu kaoa hadi anafikia kuzaa nje ya ndoa!Da ni kazi sana kuletewa mtoto wa nje ambae amezaliwa ukiwa umeshaolewa!hawa tu tunaowakuta some time roho huwa inauma!
  Any way ampokee tu huyo mtoto hana jinsi yameshatokea!
   
 3. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #3
  Apr 3, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Nyamayao,
  Haya ndiyo majaribu ya shetani! Hata kabla ya kujaribu kushauri, naomba niseme kitu kimoja. Hivi, huyo mwanaume anafikiria nini kichwani kumletea mkewe ushahidi kamili kuwa siku zote amekuwa akizini nje ya ndoa?
  Leo wamekorofishana, anamleta mtoto, wakipatana itakuwaje? Si ndo wataendelea kujivinjari na akipatikana mtoto mwingine, yaya wa bure yupo atalea!
  Ingekuwa mimi nadhani ningekataa maana hata kisheria mtoto kama huyo ni mali ya mama mzazi na wajibu wa huyo baba ni kutoa matunzo tu hadi atakapokuwa na umri wa kutosha ambapo amri ya mahakama itahitajika kumpa huyo baba rasmi!
  Huyo bwana kama mamake mzazi yupo, ampelekee mjukuu!
   
 4. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #4
  Apr 3, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mbona sipo tu haiwezekani kumpokea kwa vile bado anatakiwa apate mapenzi ya mama mzazi ambaye bado yu hai! Asitie mguu hadi aruhusiwe kisheria ( Ingawa mtoto hana kosa wala hatia hapo ila kina baba mnatukwaza sana tu.

  Ningekenda tafuta mtoto mwingine wa dada yangu nimwambie nami ni wangu tofauti tu ni kuwa mimba ilibebwa na mwenzangu (mwanaume) ah mnakera sana ninyi.
   
 5. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #5
  Apr 3, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  sis ndipo hapo na mie nilishindwa kumshauri coz mie kama mie nicngemchukua, mie nilimchukua niliemkuta coz nimemkuta na kwangu naona ni haki yake kutuzwa/kulelewa na baba yake,na ictoshe mama yake alikuwa hana uwezo wa kumuhudumia, but wa leo kesho atanisamehe ctamuhitaji kwangu wamtunze na kama kuendelea na huyo mwanamke aendelee nae ctojali!
   
 6. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #6
  Apr 3, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  mwanaume anasema gia ya yeye kuachana kabisa na huyo binti ni yeye kumchukua mwanae akae nae ili huyo binti aclete usumbufu wa matumizi ya mtoto cjui nini na nini kwa mtoto na mambo kibao, mie nilimwambia ningekuwa mie hapo bado hajanishawishi na ictoshe alishamuuliza akamkana huy binti, sasa hivi ndio aone wa kumletea mzigo?
   
 7. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #7
  Apr 3, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  mie wangu niliemkuta namlea kwa roho 1, na ikatokea bahati mbaya mama yake alifariki lakini mie nikiwa tayari nipo nae kwangu, so kwasasa ndio mwanangu wa 1 akifatiwa na wangu mwenyewe, wa kuongeza atatoka kwangu tu mwingine yoyote ctamtambua hilo ni wazi mpaka kwa mama wa mr analijua.
   
 8. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #8
  Apr 3, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  .... Yaani nyamayao ningekuwa na wembe ngeshautafuna kabisa hapa kwa hasira. Amwambie wakaandikishiane Ustawi wa jamii ambako huyo mwanaume mshahara wake utakuwa unakatwa toka kwa mwajiiri wake na kupelekwa ustawi then yule mwanamke ataenda kuchukua matumizi kule pasipo kuonana wal akumbugudhi huyo mzee.
   
 9. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #9
  Apr 3, 2009
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,214
  Trophy Points: 280
  Wanaume ndo walivyo ukimuuliza anakana siku ukija kugundua na vigezo vyote vinaonyesha ni ukweli hapo ndo anaanza ooh ilikuwa bahati mbaya!Any way ni mme wake atafanyanini?achukue huyo mtoto alee!
   
 10. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #10
  Apr 3, 2009
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,214
  Trophy Points: 280
  ni kweli unamlea kwa roho moja! ila some time inakuwa ngumu hasa akikuudhi!ukamchapa anaweza akawaza kwa vile si mama yangu!any way hata huyu wa kuletewa ukiwa umeshaolewa du inauma kweli!ila mtoto hana kosa utafanya nini inabidi umchukue tu!
   
 11. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #11
  Apr 3, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Unajua, sis waafrika tunaendekeza sana mambo kama haya na ndiyo maana tutabakia hatupigi hatua kwa lolote.
  Mimi nimeshaona mienendo kama hii na hizo familia zinazoendekeza mambo kama haya huwa na mitafaruku sana.Huwezi kuni convince kuwa kuendelea kukusanya watoto wanaozaliwa nje ya ndoa na kuwaleta nyumbani ndo kutakata mahusiano yasiyokubalika.

  Pamoja na kuwa wanawake tuna huruma sana by nature, hiyo huruma ina mipaka. Wanaume wengine hutumia ubabe hasa wakijua huna jinsi - kuondoka huwezi na kukataa yeye ataweka veto! Kinachofuatia ni vita baridi... huyo mtoto anaweza kukaa, akala, akalala, akatibiwa,kusomeshwa na kupewa mahitaji yote muhimu.Isipokuwa - atakosa lile joto la upendo wa huyo mama wa kambo.Atakosa ile extra care ( kukanywa kwa upendo hata kama kunaumiza, kufundwa na kuundwa aje awe mtu mwenye maadili ya baadae). Huyo mtoto mwenyewe atakuwa anaumia ndani kwa ndani na hatajua hasa kinachumuumiza ni nini maana kama ni mahitaji yote anapata, hateswi wala hanyanyaswi. Hata pa kulalamika hatakuwa napo maana hatajua hata alalamike nini!

  Akina baba/kaka - hizo veto zenu mjue zitawaumizia watoto!
   
 12. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #12
  Apr 3, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Tatizo nyie wanawake iwa mnashindwa kuelewa kitu kimoja.
  Nyamayao mwambie mwenzio mtoto hana kosa mwenye kosa ni baba....mtoto kaja duniani bila kujua baba ana wake wangapi?Unapo kataa unamkosea haki mtoto huyo pamoja na muumba aliye muumba kitanda hakijazaa haramu kiumbe hicho anakikataa kwa nini?
  Umama wa kambo huo sio mzuri.
   
 13. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #13
  Apr 3, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  EFidel80 kaka mtoto wa miaka 2 haki yake ni kukaa na mama yake mzazi na si mama wa kambo tena ambaye bado anamtoto mchanga wa miezi 4. Hatapata yale mapenzi anayotakiwa awe nayo puleeeez
   
 14. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #14
  Apr 3, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Ndo maaana iwa tunasema nyie wanawake mna roho mbaya sana mna roho za kutu roho za kwa nini...hivi kwa nini jamani utafikiri sio mzazi?Je mama yake angekufa?Huyu mama kafumaniwa jamaa kaamua kuchukua kilicho chake mnataka afanyaje?
   
 15. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #15
  Apr 3, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0


  kwa maelezo ya frnd jana inaonekana mumewe anataka tu kumchukua na kukaa nae hapo nyumbani, mie sielewi kabisa jamani., WOS kuna mahali amegusia labda mtoto apelekwe kwa mama mzaa baba, mama mzaa baba ni mzee sana sio yule wa kumsumbua na malezi tena,.
   
 16. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #16
  Apr 3, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Fidel ndio maana nikasema mradi mama mzazi yu hai hajafa (plz pitia post zangu zilizotangulia). Hata huyo mama (mke wa jamaa) ajiweke katika nafasi ya huyo binti, umejifungua mwanao then baba wa mtoto aje amchukue akiwa na miaka miwili wakati wewe mmwenyewe uko hai eti kisa hataki muwasiliane tena? Unafikiri Ustawi wa jamii kazi zao nini? Atam,pata mwanae umri ukisharuhusu kisheria. Ingekuwa mama mzazi amefariki ningemchukua na kumlea kwa mapenzi. yote na wala si kama unavyofikiria.
   
 17. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #17
  Apr 3, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Nyamayao tufanye wewe ndio huyo nyumba ndogo utakubali mwanao achukuliwe akiwa na umri mdogo kiasi hicho? Akalelewe na mama mwenye mtoto wake mchanga ? Unless wewe huna kabisa uwezo wa kumlea mwanao
   
 18. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #18
  Apr 3, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Fidel,
  Mwanamke anapokubali kuolewa anakuwa ana expecTations fulani about ndoa na uhusiano baina yake na mumewe.Likewise mwanaume anapooa.Sasa ndugu yangu kuja kuniletea watoto wako nikulelee, sijahitaji surrogate arrangement maana kuzaa hata na mie nazaa!
  Kwanini itakuwepo hadi nife maana sipati picha eti! KWANINI ULINIFANYIA HIVYOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO????????????????????
   
 19. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #19
  Apr 3, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Msome vizuri tena mleta habari Nyamayao....naona huyu baba na hiyo nyumba ndogo wana mgogoro baada ya kufumaniana upo hapo??
   
 20. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #20
  Apr 3, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0


  kumchapa/kumkemea panapostahili ni muhimu aise, ni ngumu jamani kumchukua, na yeye alipanga ajizalie mapema apate kupumzika na uzazi.
   
Loading...