Search results

  1. kwalele

    Kero ya watumiaji wa barabara ya Tabata maji chumvi

    Habari zenu wana JF Kumekuwa na kero kubwa ya watumiaji wa barabara inayopita external kupitia jeshini kuelekea tabata kimanga hapa kati kati kuna kipande hakina rami na barabara haijachongwa na kutokana na hari ya hewa ya mvua basi kila siku kero ya magari yana nasa na kusababisha kero kwa...
  2. kwalele

    Jaribio la kombora la korea kaskazini lafeli

    Maafisa wa Marekani na Korea Kusini wamesema jaribio la kombola la korea Kaskazini limefeli kwani kombola hilo lilianguka punde tu mara baada ya kupaa angani.Maafisa wa Marekani wamesema kombora hilo lilipaa angani kwa sekunde kadhaa kabla ya kuanguka,hii ni ishara kwamba korea Kaskazini haina...
  3. kwalele

    Nimemkuta hayupo

    Mara nyingi watumiaji wa lugha ya kiswahili tunafanya makosa bila kujua,kwa wataalamu wa lugha ya kiswahili je ni sahihi kusema kuwa"Nimemkuta hayupo" pale unapoenda kumtafuta mtu ukamkosa
  4. kwalele

    Joh makin Vs Fid q

    Heri ya pasaka wana JF Leo katika pitapita nimekutana na mjadala uliokuwa unawaelezea wakali wa miondoko ya kufoka(hip hop) wa hapa TZ kati ya Joh makini na Fid q,toa maoni yako nani ni mkali zaidi katika uandishi wa mashairi na kuimba
  5. kwalele

    Ufugaji batamzinga

    Habari zenu wana JF Nimejaribu kufuatulia kwa ukaribu ufugaji wa bata mzinga na nikafanikiwa kupata maelekezo namna ya kuwafuga na kuandaa mazingira ya kuwafuguia yaani ujenzi bora wa mabanda,kwa sasa nishaandaa mabanda ila sijajua wapi naweza kuwapata batamzinga wa kuanzia anayejua napoweza...
  6. kwalele

    Kuhusu toshiba driver detective

    Ndugu wanajukwaa kwa mwenye Key za program ya toshiba driver detective naomba ani2mie,ninaihitaji ili niweze kuitumia hii program kuinstall wireless Driver​ kwenye toshiba satelite C850-F01N
  7. kwalele

    Boot menu COMPAQ laptop

    Wadau kuna shida imekua ikinitatiza kufanya window installation kwenye pc yangu aina ya compaq kwa sababu nimejaribu kuiboot kwa kuptia function key zote imekataa,kwa member yyte mwenye utaalamu na hii ki2 naomba anipe msaada wa maarifa nifanyaje ili nifanikiwe kwa hili.nawakilisha.........
  8. kwalele

    Ufugaji wa kuku wa kisasa

    Kwa anayefahamu kuhusu gharama za kununua kifaranga wa kuku wa kisasa ktka jiji la dar na aina za madawa ambazo ni muhimu kwa ukuaji wa vifaranga hao na makadilio ya gharama ya madawa hayo please naomba anieleweshe,natanguliza shukrani kwa wana jukwaa:yell::yell:
  9. kwalele

    Msaada kuhusu internet download manager(IDM)

    Wana JF kwa anaye fahamu jinsi ya kuinstall IDM Yenye hacking key please anitumie hayo maujanja coz imenisumbua kwa muda mrefu xana.Natunguliza kwanza shukrani:nod:
Back
Top Bottom