kwalele
Member
- Mar 18, 2013
- 36
- 15
Wadau kuna shida imekua ikinitatiza kufanya window installation kwenye pc yangu aina ya compaq kwa sababu nimejaribu kuiboot kwa kuptia function key zote imekataa,kwa member yyte mwenye utaalamu na hii ki2 naomba anipe msaada wa maarifa nifanyaje ili nifanikiwe kwa hili.nawakilisha.........