Search results

  1. madiya85

    TV4Sale STAR X

    INCHI 22 INA USB PORT, HDMI, EARPHONE PORT, DC AND AC ELECTRICITY 210,000 DSM HAINA TATZO LOLOTE BALI NATAKA CHUKUA 32 INCHI SERIOUSLY BUYER ONLY 0787 429 104. MBEZI LUIS.
  2. madiya85

    KUKU PURE KIENYEJI WANAUZWA

    Kwako mfugaji kuku ni wa miezi 4 & 5 wako jogoo 2, tetea 8 wote bei 120000 wamepata chanjo zote wanapatkana mbezi ya kimara dsm 0787 42 91 04
  3. madiya85

    Natafuta kazi ya uandishi wa makala

    Anayehitaji mtu wa kufanya kazi za uandishi wa habari au matukio au makala,mbalimbali zihusuzo siasa, jamii nipo hapa iwe ni kwenye blog au website nk. Nicheck 0683666702
  4. madiya85

    Ushauri: Mke wangu mchafu

    Nimevumilia ninashindwa, sasa Leo alfajiri wakati najiandaa kwenda job daah! Nikakuta kaweka kopo la chooni ndani ya ndoo ya kuhifadhia maji ya kunywa, ukimuulza hayo majibu yake khaa! Jana kalala bila kuoga kisa baridi full harufu ya majasho na naamini kwenda job kwake hajaoga maana nilimuacha...
  5. madiya85

    maziwa fresh na mgando yanapatikana

    kwa uhitaji wa mAziwa fresh na mgando ya ng'ombe wa kienyeji pure yanapatikana na nApokea oda hayana maji napatikana dsm mbezi luis nichek 0683666702
  6. madiya85

    Maziwa yanapatikana

    Ninapokea oder ya maziwa kuanzia Lita 20 ni wa ng'ombe wa kienyeji nakamua mi mwenyewe hakuna maji naruhusu upime kama kuna maji napokea oda za mahotel na binafsi napatikana Kongowe . Lakini akihitaji namletea iwe kuanzia Lita 20 nasisitiza siweki maji na ni ya ng'ombe wa kienyeji nipigie au...
  7. madiya85

    Mke wangu amesema niondoke

    Wakuu, Kuna jirani yangu ana mkewe kimsing huwa wanazozana lakini yanaisha sasa juzi jamaa akawa anamlalamikia mkewe kwanini hamjali mda wote yeye kakaa na dada wa kazi jamaa yuko sitting room mwisho wa siku ikabidi jamaa amuite mkewe waongee tatizo nini jibu alilotoa mke ni kumwambia jamaa...
  8. madiya85

    mwenye clone yoyote

    Nna elfu 30 cash. Piga 0659 174 311
  9. madiya85

    Sofa zinauzwa Goba Dar es salaam

    Sofa za leza kubwa la watu wawili na mawili ya mtu mmoja mmoja hayana michubuko,godoro imara na ni za ksasa zmenunuliwa mwezi wa pili bei ni 350,000 serious buyer only. ZINAPATIKANA GOBA, piga 0659 174 311 au 0755 914 977.
  10. madiya85

    Subwoofer inauzwa

    Haya serious buyer tu kama unahitaji sub woofer inapatikana kwa elfu 60 imenunuliwa mwez wa pili haina kasoro wala michubuko ina fm radio, remote, mahala pa kuchomeka flash na memory card na haijawahi pelekwa kwa fundi INAPATIKANA GOBA, piga 0659 174 311 au 0755 914 977.
  11. madiya85

    Barabara ya Tegeta-Mwenge kukosa taa

    Ni ajabu sana hii barabara imejengwa na wajapan lakin cha ajabu imekamilika pasipo kuwekewa taa na mi nnavyojua barabara ikijengwa lazma iwekewe taa lakin hii n tofauti au ndo tuamin makanjanja na majizi wa nchi hii wamekwapua pesa ya taa? Maana hawachelewi baadae kuja kuchangsha wananchi kwamba...
  12. madiya85

    Nataka simu, nina 40,000/= Tshs

    Nna elfu 40, mwenye nokia X2-01, E71,blackberry nicheki 0755 914 977.
  13. madiya85

    Mke wake ni mchawi afanyaje?

    Kuna rafiki yangu ana mke wake, usiku mmoja wakati wamelala mida ya saa saba usku akaota anaona wachawi wanaingia chumbani mmoja kapanda fisi wengine kama watatu wanatembea. Mara akaanza pambana nao huku akisema kwa jina la Yesu akafanikiwa kumkamata mmoja akaanza kumpiga sana ile anakuja stuka...
  14. madiya85

    Nimeota ndoto ya ajabu

    Wakuu naombeni msaada kwa hii ndoto nimeota nikiwa natembea na mdogo wangu mara nikaona majoka mawili njiani moja kubwa jingne dogo, nkaanza kupambana nayo nkafanikiwa kumuua mdogo, wakati naenda kuua yule joka mkubwa nkastuka ndotoni. JE MAANA YAKE NINI?
  15. madiya85

    Baadhi ya wanawake hawana maana

    Mara nyingi wakiwa kwenye vijiwe vyao ama ofisini hasa wenye ndoa wengi wao huishia kuvunjiana ndoa tu,unakuta mwingine anamshiriksha mwenzie matatizo yake na mumewe utashangaa ushauri atakaopewa ni either achepuke or avunje ndoa kwanza ana kazi mwanaume wa nini. Sasa cha ajabu huyo anaemshauri...
  16. madiya85

    Mwalimu wa masomo ya Arts

    Nafundishia nyumbani ukinihitaji kwaajili ya mwanao nicheki 0755914977 CIVICS,HISTORY,GEOGRAPHY,ENGLISH.
  17. madiya85

    Nahitaji epson photo printer

    Epson photoprinter aina ya PX 660, P50,L800 nna cash 350,000 iwe na mitungi ya nje ya wino ncheki 0755 91 49 77
  18. madiya85

    Nahitaji photoprinter

    Wadau nahtaji photoprinter aina ya epson yenye tank za wino nje na camera ndogo ya laki 1, bt kwa njia ya mkopo talipa kila mwisho wa mwezi laki na nusu mi ni mwajiliwa mwalimu,tutaandkishana mpaka kwangu takufksha na mashahidi wako na wangu watashriki mwenye nayo,tafadhari iwe nzma kama ikiwa n...
  19. madiya85

    Nahitaji photoprinter epson

    Wadau nahtaji hyo photoprinter bt kwa mkopo tuandkshane takuwa nakulpa kila mwisho wa mwezi lak 1.2 iwe PX 660,L800 nk. Npo dsm 0755914977
  20. madiya85

    Nahitaji simu Nokia

    Kati ya X2-01, E72,E63 nna elf 40 tu. 0755914977 NNAKUPA NA NOKIA 105 nzma kabisa.
Back
Top Bottom