Maziwa yanapatikana

Maziwa yanapatikana

madiya85

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2013
Posts
282
Reaction score
65
Ninapokea oder ya maziwa kuanzia Lita 20 ni wa ng'ombe wa kienyeji nakamua mi mwenyewe hakuna maji naruhusu upime kama kuna maji napokea oda za mahotel na binafsi napatikana Kongowe .

Lakini akihitaji namletea iwe kuanzia Lita 20 nasisitiza siweki maji na ni ya ng'ombe wa kienyeji nipigie au tuma SMS 0676 057 011.
 
Mwanzo umesema ng'ombe wa kienyeji umemaliza kwa kusisitiza ni ng'ombe wa kisasa nadhani ni makosa ya uchapaji naomba urekebishe au uthibitishe kama umekusudia. Nahitaji sana ya kienyeji bt uwezo wangu ni lita 5 kwa wiki.nadhani vigezo sijafikia!
 
ni wa kienyeji mnisaamehe..

Rekebisha hapo juu! Watu watakuona wewe sio mkweli kuhusu suala la kutokuweka maji maana umejichanganya mara ng'ombe wa Kienyeji then mwisho umemalizia kwa kusema ni wa kisasa.

Anyway japo mimi naamini maziwa ni maziwa whether yametoka kwa ng'ombe wa kienyeji au kisasa, cha muhimu yasiwekwe maji.
 
Back
Top Bottom