Nahitaji photoprinter

madiya85

JF-Expert Member
Mar 5, 2013
282
195
Wadau nahtaji photoprinter aina ya epson yenye tank za wino nje na camera ndogo ya laki 1, bt kwa njia ya mkopo talipa kila mwisho wa mwezi laki na nusu mi ni mwajiliwa mwalimu,tutaandkishana mpaka kwangu takufksha na mashahidi wako na wangu watashriki mwenye nayo,tafadhari iwe nzma kama ikiwa n px660 au L800 au P50 itakua poa sn npo Goba dsm 0755914977
 
Nantes

JF-Expert Member
Apr 4, 2014
544
0
Unataka ya bei gani?maana humu kuna watu wanakuja kizushi sana,unataka ya bei gani swali la kwanza?na utalipaje tena,maana sijaelewa na ualimu wako ulichoandika hapo juu,rudia vizuri,nina p50 nyingi na za kutosha
 
mkuu wewe ndo uniambie unauza shs ngapi? Nijilizshe tukubaliane kwan kuna P50 zenye bei tofauti? Kama zpo weka bei hapa tuonane tukubaliane mi talpa kila mwisho wa mwezi.
 
Nantes

JF-Expert Member
Apr 4, 2014
544
0
mkuu wewe ndo uniambie unauza shs ngapi? Nijilizshe tukubaliane kwan kuna P50 zenye bei tofauti? Kama zpo weka bei hapa tuonane tukubaliane mi talpa kila mwisho wa mwezi.
jihukumu ama ni pm me siishi bongo ila dogo nitakupa uwasiliane naye ila usiwe mzushi tu,na kama hauko tayari usinitafute maana humu kuna watu huwa wanakuja kama gas ya mtwara kumbe hawako tayari yaani sisi wabongo ni uzushi mtupu tu,samahani sio kila mmbongo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom