Subwoofer inauzwa

Subwoofer inauzwa

madiya85

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2013
Posts
282
Reaction score
65
Haya serious buyer tu kama unahitaji sub woofer inapatikana kwa elfu 60 imenunuliwa mwez wa pili haina kasoro wala michubuko ina fm radio, remote, mahala pa kuchomeka flash na memory card na haijawahi pelekwa kwa fundi INAPATIKANA GOBA, piga 0659 174 311 au 0755 914 977.
 
Mkuu hebu ipige picha nione ikoje nipo interested.

bahati mbaya sana simu yng haina uwezo wa kuweka picha NI AINA YA SANSAN model ni SN-210K njoo uchukue mkuu iko poa sana.
 
mkuu ina muundo kama huu au ni tofauti.

SANSAN model ni SN-210K.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom