madiya85
JF-Expert Member
- Mar 5, 2013
- 282
- 65
Mara nyingi wakiwa kwenye vijiwe vyao ama ofisini hasa wenye ndoa wengi wao huishia kuvunjiana ndoa tu,unakuta mwingine anamshiriksha mwenzie matatizo yake na mumewe utashangaa ushauri atakaopewa ni either achepuke or avunje ndoa kwanza ana kazi mwanaume wa nini.
Sasa cha ajabu huyo anaemshauri hivyo mwenzie nae ana changamoto nyingi lakini hasemi zaidi ya kuijitapa kwamba mume wake hambananishi hata kidogo na hafurukuti kumbe uwenda anapata kichapo kikali na jamaa halmjali lakini mpole kaa maji mtungini ila kuharibu kwa wengine kiboko,ndo maana jamaa mengi siku hizi hawaoi yanawahamishia geto tu.
Wanachezea kisha wanatimuliwa,analetwa mwingine nae atapigwa mimba then mtoto at the end hakuna ndoa unatimuliwa siku yaani wanawake wamefanywa kinyume na maumbile katika 10 basi 8 hawako salama tamaa tamaa tu zinawaponza sana.