madiya85
JF-Expert Member
- Mar 5, 2013
- 282
- 65
Ni ajabu sana hii barabara imejengwa na wajapan lakin cha ajabu imekamilika pasipo kuwekewa taa na mi nnavyojua barabara ikijengwa lazma iwekewe taa lakin hii n tofauti au ndo tuamin makanjanja na majizi wa nchi hii wamekwapua pesa ya taa? Maana hawachelewi baadae kuja kuchangsha wananchi kwamba tuchangie maendeleo ili waweke taa, maana walijenga shule za kata paspo maabara leo hii yamekuja eti kuchangsha kwa lazma tena wakataka kukata mpaka mishahara yetu ili wajenga maabara, at ze same time wanagawa.na kodi zetu wakdai n pesa ya mboga,ugolo,madafu. TUNATAKA TAA