madiya85
JF-Expert Member
- Mar 5, 2013
- 282
- 65
Kuna rafiki yangu ana mke wake, usiku mmoja wakati wamelala mida ya saa saba usku akaota anaona wachawi wanaingia chumbani mmoja kapanda fisi wengine kama watatu wanatembea.
Mara akaanza pambana nao huku akisema kwa jina la Yesu akafanikiwa kumkamata mmoja akaanza kumpiga sana ile anakuja stuka akakuta amemshika mkewe anampiga mara mkewe akakurupuka akakimbia toka kitandani.
Mara nyingine tena akaota kuna mchawi amekaa kitandani anamwangalia jamaa usoni anacheka cheko la kubwa sana, jamaa akaanza kupambana nae ile anainua mkono kumpiga kibao.
Akashangaa mkewe anaruka kwamba anataka kupigwa na jamaa.Kingine sasa cha ajabu mara nyingi huyu mwanamke wakipishana kidogo na mumewe huwa anafikia hatua ya kumtukana mumewe eti shoga wakati sio kweli.
Lakini jamaa anadai alishawahi kuota zaidi ya mara moja mkewe anajaribu kumuingizia kidole kwenye makalio but huwa anapambana nae mpaka anashnda halafu anastuka usingizini. Hii ni kweli kabisa maoni yenu wakuu jamaa yuko njiapanda.
Ushauri wenu wakuu