Search results

  1. Q

    MSAADA JINSI YA KUSAFISHA KUKU WA NYAMA

    Wanakijiji naomba msaada kwa yeyote anayejua jinsi ya kusafisha kuku wa nyama wakishachinjwa na kuwakausha vizuri ili wasibakie na majimaji ya damu kabla ya kufungasha, kwani yale maji maji yanasababisha kuku kuwa na rangi nyekundu badala ya nyeupe inayotakiwa. asanteni kwa ushirikiano.
  2. Q

    What is all the fuss about ongoing quail egg craze?

    Jamani kwenye gazeti la SUNDAYNEWS MARCH 8, 2015 limeandika habari hizo kuhusiana na mayai ya kwale kwamba si tiba kama tulivyosikia wale wajuzi wa suala hili tafadhali tujuzane.
  3. Q

    Unyanyasaji wa kutisha kwa mtoto Nasra mkoani Morogoro: Aishi kwny box kwa miaka 4!

    Wana JF wote tuungane kwa pamoja bila kujali itikadi zetu, dini zetu kukemea unyanyasaji wa watoto hapa nchini. Katika Taarifa ya Habari jana nimejionea mtoto wa miaka minne Nasra aliyeathirika kwa unyanyasaji wa kutisha na mama yake mdogo baada ya mama yake mzazi kufariki dunia. Tukio hilo...
  4. Q

    Muziki katika makazi ya watu

    Nawaomba wanaJF wanaoijua sheria inayohusu wale wafanyabiashara wanaopiga muziki kwa sauti kubwa katika makazi ya watu inasemaje!yaani kuna kibanda kimoja hapo uswahilini kwetu hatulali! Nataka niwachukulie sheria kwani nimewafuata mara kadhaa kuwaomba wasifungulie muziki kwa sauti kubwa lakini...
  5. Q

    Uchafu uliokithiri jijini arusha

    Wana JF nawaomba ushauri wenu kuhusiana na jiji la Arusha kuwa chafu kupindukia! hakuna magari ya kubeba uchafu hivyo uchafu umetapakaa kila mahali. kumekuwa na vikao vya wananchi na madiwani wao kuzungumzia suala hilo lakini wale wenye magari wanadai kuwa wananchi hawalipi ada kwa ajili ya...
  6. Q

    Ubinadaamu kazi!

    Jamaa mmoja alishukiwa na Malaika toka Mbinguni akaambiwa omba chochote unachotaka lakini jirani yako yeye atapata mara mbili. Kwa mfano ukitaka PRADO jirani yako atapata PRADO mbili nawe utapata moja. Jamaa akafikiria kwa muda halafu akamwambia "NITOE JICHO MOJA"
  7. Q

    Kwei kiumbe mwanaume ni kiboko

    Katika pitapita zangu nilikutana na Bwana mmoja akanisimulia kisa hiki: siku moja bwana huyo alichukua bibi akaenda naye chemba akiwa na gari lake walipofika maeneo yao ya kujidai bwana yule alipaki gari yake pale, kwa bahati mbaya sana wapambe wakamfuata mkewe na kumwambia wamemuona maeneo...
  8. Q

    Biashara ya Nguo za Mtumba: Ushauri na Muongozo wa Kuifanya kwa Mafanikio

    Naomba msaada wenu nina duka la nguo la kawaida tu na lipo eneo zuri la biashara kinachonishangaza sipati faida kabisa je kuna yeyote kwenye biashara hiyo ambaye anaweza kunishauri jinsi ya kulisimamia? Mimi ni mfanyakazi kwa hiyo si mara kwa mara nakuwa dukani hapo. Naombeni ushauri...
Back
Top Bottom