Kwei kiumbe mwanaume ni kiboko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwei kiumbe mwanaume ni kiboko

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Qsm, Sep 30, 2010.

 1. Q

  Qsm JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 400
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Katika pitapita zangu nilikutana na Bwana mmoja akanisimulia kisa hiki: siku moja bwana huyo alichukua bibi akaenda naye chemba akiwa na gari lake walipofika maeneo yao ya kujidai bwana yule alipaki gari yake pale, kwa bahati mbaya sana wapambe wakamfuata mkewe na kumwambia wamemuona maeneo hatari mumewe na kwa ushahidi aenda pale atakuta gari limepaki. Mkewe kwa kiwewe mguu na njia hadi eneo husika na kweli alilikuta gari la mumewe kwa hasira akaona asiondoke akae hapo hapo karibu na gari ili mumewe akitoka amnase.

  Kwa bahati nzuri yule Bwana alipotaka kutoka tu akamuona mkewe na akapata wazo la kumuita fundi wa gari lake na kumueleza kisa chote na kumuomba yule fundi amfuate pale na afanye ajuavyo aingie mle ndani na kuchukua funguo ya gari lile na kutoka nalo. fundi alifanikiwa akachukua funguo na kuondoka na gari. Mama akabaki na butwaa asijue la kufanya na kurudi nyumbani.

  Jioni mama akamsimulia mumewe kuwa ana bahati sana kwani alijua yeye ndiye amepaki gari pale kumbe lilikuwa na fundi. Mumewe kusikia hivyo ilibidi awe mkali na kumchapa vibao mkewe eti kwanini anajifunza tabia hiyo mbaya. Nilisikitika na kumuuliza kwanini uliamua kumpiga wakati unajua ni kweli ulikuwa na makosa? Yule Bwana akanijibu hiyo ndiyo njia mbadala niliyotumia ili asiwe na tabia ya kusikiliza maneno ya watu hasa ukizingatia uzinzi siweze acha.

  Hivi uonevu huu kwa kina mama ndani ya ndoa utaisha lini?
   
 2. tracy

  tracy JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2010
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  I really do not know y most men wanapenda kuonea waschana,kosa lake lakini atajitahidi liwe la mwenzie..
   
 3. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Huyu mwanaume MASTERS yake ya INFIDELITY sijui alichukua kwenye chuo gani
   
 4. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  I admire the guy.
  Ngoja na mimi nipraktiz kwa wifey
  natengeneza fumanizi lakini ntajiokoa.
  subirini story
   
 5. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #5
  Sep 30, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Msanii si unajua zile unapewa lifti kwenye gari halafu unataka kupiga hadi na honi
   
 6. Z

  Zero One Two JF-Expert Member

  #6
  Sep 30, 2010
  Joined: Sep 16, 2007
  Messages: 9,390
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  inashangaza kweli, eti badala ashukuru Mungu ameoswakoswa, yeye anashusha kichapo, but za mwz ni 40 only one day atakamatwa
   
 7. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #7
  Sep 30, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Hizo zinaitwa preventive measures
   
 8. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #8
  Sep 30, 2010
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Tumulize ASPRIN labda huyo jamaa ni mwanafunzi wake
   
 9. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #9
  Sep 30, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  yaani we acha tu.
  the guy is rocking his world
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Sep 30, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  cousin

  Huyu baba hawezi kuwa na masters, atakua na certificate aisee... sifa kubwa tatu za infii specialist ni

  1. usishikwe
  2. usigombane na mwanandani hata kidogo
  3. usitengeneze mazingira yoyote ya vitisho

  wazee wa infii ni wema, wanyenyekevu, wanaoshare, wenye upendo, wakarimu na smart --- hi missed those qualities
   
 11. chloe.obrain

  chloe.obrain JF-Expert Member

  #11
  Sep 30, 2010
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 391
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh!! i feel sorry kwa huyo mama, kwa style hii i better off alone lol!!!:pout:
   
 12. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #12
  Sep 30, 2010
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...Kwa hiyo ya kumpiga mamaa wakati akijua wazi kuwa kweli ali-cheat ni KOSA KUBWA.
  Ila kwa hiyo style aliyotumia kukwepa kufumaniwa na mkewe...the brother anastahili an Oscar!!
   
 13. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #13
  Oct 1, 2010
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  dont try this plz, mama anaweza kuja kukaguwa vyumba vyote vya guest house kabla wewe hujamuona na akakufuma huko, hapo ndo utajibeba!
   
 14. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #14
  Oct 1, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Lady N wanachama wa ISC hata siku moja hawawezi kuhisiwa wanafanya infi sheria zetu tunazitimiza ipasavyo na kuzifuata
   
 15. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #15
  Oct 1, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Ningekuwa naifanyia report ya jamaa evaluation kwenye kipengele cha perfomance ningemuwekea 25% kutokana na hapo kwenye nyekundu maana huyu INFI yake tayari ilikuwa imeishaingia doa
   
 16. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #16
  Oct 1, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Anahitaji kufanyiwa assessment upya
   
 17. E

  Edo JF-Expert Member

  #17
  Oct 1, 2010
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Taabu yao ukiwaambia ukweli wanakasirika, ukiwaambia uongo wanaridhika !
   
 18. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #18
  Oct 1, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,060
  Likes Received: 24,064
  Trophy Points: 280
  :A S 112:

  :hand:

  :A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up:  The Following User Say Thank You to Acid For This Useful Post: Asprin (Today)
   
Loading...