Search results

  1. wrong turn

    Password na username kwenye User account"' (computer).

    Ukiachana na password ya kufungulia computer, kuna password ambayao hutumika kuweka usalama (security) ya computer kwa ajili ya virus, ku install program au kubadili progaram za computer, sijui huiwekea wapi ila nahisi inaanza mbali kuwekwa. Nikitaka kuingia kwenye User account huja massage...
  2. wrong turn

    Taharuki kila pembe ya dunia.

    Hofu, woga, ubabe ndio maisha ya dunia yetu ya sasa, asietakiwa kupata haki kaekewa ukuta wa kuzuia haki isimfike, na mwenye kujiona ana haki kajizingirishia ukuta ili haki isitoke, ila kiukweli kila kiumbe anahaki ya kuishi na kupata kile mwnegine anapata. Mengi yatokeayo kila pembe ya dunia...
  3. wrong turn

    Huku sisi tunaongeza KODI kila kona wengine wanapunguza.

    Uingereza kuvutia makampuni ya biashara Waziri wa fedha wa Uingereza George Osborne ameeleza mipango ya wizara yake yenye lengo la kupunguza kodi muhimu ya faida katika biashara. Hatua ya Osborne ni sehemu ya mkakati wa kiuchumi katika harakati za kuvutia uwekezaji mpya, na hii inafuatia...
  4. wrong turn

    Kwa wenye ujuzi kwenye wazo hili.

    Habari zenu wana bodi. Naomba kufunzwa na kuelimishwa kwa wale welidi na wajuzi wa kutengeneza vitu kama hivi kwenye nyumba. Concrete Countertop, ambayo itakuwa na mfano halisi kama marble countertop, natamani kujua materials gani yanatumika ili utengeneze countertop nyumabani kwako ambayo...
  5. wrong turn

    US Nato general fears rapid Russian troop deployments

    The commander of US troops in Europe says Nato cannot rapidly deploy large forces to Eastern Europe in the way that Russia can. "The Russians are able to move huge formations and lots of equipment a long distance very fast," he said. Nato needs to have that speed too, he said. "Three days'...
  6. wrong turn

    Kwanini tusiwape uwongozi kwa mijadala ya hadhara?.

    Habari zenu wakuu. Nimekuwa nikifuatilia mazigira ya nchi zetu za kiafrika namna ya teuzi mbali mbali kwenye serekali na seketa muhimu kwa jamii, nimegundua teuzi nyingi afrika huwa zinabezi sana kwenye umimi, undugu, rafiki, jamaa, familia, kulipana fadhila na nk. hata kama hawana uwezo ya...
  7. wrong turn

    Russian warplanes 'aggressively' pass US missile destroyer

    Two Russian planes flew close to a US guided missile destroyer almost a dozen times, American officials have said. The Sukhoi SU-24 warplanes, in international waters in the Baltic Sea, had no visible weaponry and the ship took no action. One official called the events on Monday and Tuesday...
  8. wrong turn

    Russia yatishia kujibu mapigo ya Marekani

    Russia imeitahadharisha Marekani kuhusu mpango wake wa kupeleka mabomu 20 ya kisasa ya nyuklia kwenye kituo chake cha kijeshi nchini Ujerumani. Msemaji wa Ikulu ya ya Rais wa Russia Kremlin. Dmitry Peskov amesema hatua hiyo itavuruga mlingano wa kistratijia barani Ulaya na utajibiwa kwa hatua...
  9. wrong turn

    Russia yatishia kujibumapigo ya Marekani

    Russia imeitahadharisha Marekani kuhusu mpango wake wa kupeleka mabomu 20 ya kisasa ya nyuklia kwenye kituo chake cha kijeshi nchini Ujerumani. Msemaji wa Ikulu ya ya Rais wa Russia Kremlin, Dmitry Peskov amesema hatua hiyo itavuruga mlingano wa kistratijia barani Ulaya na utajibiwa kwa hatua...
  10. wrong turn

    Kutokana na changamoto za maisha nimependela nifanye cha ziada ili niweze kukuza biashara yangu.

    Habari wapendwa. Naomba mchango wenu, kwa wale waungwana na wenye uelewa jinsi ya maisha yalivyo hivi sasa. Ni kijana nilie jiajiri kwenye fani ya ufugaji wa kuku wa kisasa na kienyeji, nina diploma ya biashara. Badala ya ufugaji, ningependa kukuza biashara yngu kwa kutengeneza vyakula...
  11. wrong turn

    Tofauti ya barua hizi

    Habari zenu waungwana. Naomba mchango wenu kwa mwenye ujuzi na uelewa wa hizi barua, zina maana gani na umuhimu gani kwa muombaji na muombwaji wa kazi. 1. Cover latter. 2.Reference latter. 3.Recommendation latter. Je kuna utofauti gani kati ya hiyo ya 2 na 3?. Matangazo machache sana...
  12. wrong turn

    wanajamii hii inaukweli gani...weka neno kabla ya kupita.

    Habari wakuu... leo kwenye e-mail yangu nimepokea huu ujumbe (hapo chini), ila nikawaid kupata mail km hizi but mi huzipotezea ila hii imenifanya niifatilie, nilipo tafuta official web yao hio ishu ipo kwli, jee unadhan hii kitu inaukwli wwte...nini maoni yako ukilinganisha na ugum wa kazi...
  13. wrong turn

    US Army 'to cut 40,000 troops by the end of 2017'

    The US Army is to reduce the size of its force by 40,000 soldiers over the next two years, according to US media. The cost-cutting exercise will also see an additional 17,000 civilian employees cut from the army. The plan, which could be officially announced later this week, would see the US...
  14. wrong turn

    Russia intends to restore Cuban spy base – MP

    As Russia restores its military-industrial cooperation with Cuba it may soon reopen the Lourdes signal intelligence center near Havana, claims a senior member of the State Duma Security Committee. "I think that in the nearest future we can restore the radio intelligence base in Lourdes that had...
  15. wrong turn

    SEPAH: Iran iko tayari kwavita vya muda mrefu

    Naibu Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (SEPAH) ameitahadharisha Marekani akisema Jamhuri ya Kiislamu imejitayarisha kwa ajili ya vita vya muda mrefu na kwamba haiogopi kuingia vitani na Marekani. Brigedia Jenerali Hussein Salami ambaye alikuwa akijibu...
  16. wrong turn

    Grounded? Russia's answer to US next-gen fighterhits the skids

    Russia's ambitious T-50 fighter plane project was meant to develop a rival to two futuristic US jetfighters, the F-22 Raptor and the planned F-35 Lightning-II. But now, the T-50 appears to be rivaling the F-35 another way: in development troubles. The Kremlin is slamming the brakes on its...
  17. wrong turn

    Hivi utawezaje kufanikiwa na hili?

    Habari wana ukumbi? Ningependa kuwaombeni kujuzwa juu ya vacancies ambazo hupatikana abroad kama ifuatavyo:- - Wawezaje pata kazi abroad hususan nchi kama za scandenavia o europe wakati huna ajent wala mwenyeji, ufanyeje ili uipate?. - Waweza kuingia nchi hizo kutumia njia gani ukitoa...
  18. wrong turn

    Most Russians see their country as great power – poll

    Sixty-eight percent of Russian citizens believe their motherland is a great power that plays a significant role in international politics, according to the latest opinion poll. The research, conducted by the independent Levada Center, showed that this is the record historical high. The...
  19. wrong turn

    Russia threatens Denmark over missile shield

    Denmark could become target of Russian nuclear weapons, ambassador warns Mikhail Vanin has said that joining NATO's missile defense system could make Denmark a target for a nuclear attack. The Danish government has condemned the "threatening" remarks. In an opinion piece for the Danish daily...
  20. wrong turn

    Chakula chenye ubora kwa kuku bora.

    Msaada wahali na mali wanaJAMII, "Muhim sana". Si mda mrefu sana tangu nianze kuekeza nguvu zangu kujishughulisha binafsi (kujiajiri), ila napata shida sana katika kukuza na kuimarisha biashara yangu katika maswala ya vyakula kwa mifugo (kuku) ili wawe bora na kuuzika kwa bei iliyo bora kwani...
Back
Top Bottom