Kwa wenye ujuzi kwenye wazo hili.

wrong turn

JF-Expert Member
Feb 17, 2013
438
170
Habari zenu wana bodi.

Naomba kufunzwa na kuelimishwa kwa wale welidi na wajuzi wa kutengeneza vitu kama hivi kwenye nyumba.

Concrete Countertop, ambayo itakuwa na mfano halisi kama marble countertop, natamani kujua materials gani yanatumika ili utengeneze countertop nyumabani kwako ambayo itachukua garama nafuu, kupunguza nafasi za kufunga zege na kuweka muonekano jikoni au bafuni (chooni). nisinge penda kutumia taiz kujenga countertop jikon kwani sipendelei kuona ule muunganiko wa taiz ndio maana nikapendelea hii marble ambayo nitatengeneza mwenyewe.

Vipi upatikanaji wa Marble countertop tz na garama zake?.
Garama za kuweka taiz floor na kuweka marble (tarazo) zipi ghali?.

Marble flooring

upload_2016-7-1_4-37-3.jpeg
images


Marble countertop.

images
images
images
images


Concrete Countertop.

images
images
images
images
 

Attachments

  • upload_2016-7-1_4-27-44.jpeg
    upload_2016-7-1_4-27-44.jpeg
    8.5 KB · Views: 49
  • upload_2016-7-1_4-36-41.jpeg
    upload_2016-7-1_4-36-41.jpeg
    7.9 KB · Views: 48
Back
Top Bottom