Kwanini tusiwape uwongozi kwa mijadala ya hadhara?.

wrong turn

JF-Expert Member
Feb 17, 2013
438
170
Habari zenu wakuu.

Nimekuwa nikifuatilia mazigira ya nchi zetu za kiafrika namna ya teuzi mbali mbali kwenye serekali na seketa muhimu kwa jamii, nimegundua teuzi nyingi afrika huwa zinabezi sana kwenye umimi, undugu, rafiki, jamaa, familia, kulipana fadhila na nk. hata kama hawana uwezo ya uwongozi.

Ivi kwanini wasichaguliwe kwa mijadala ya hadharani baada ya kupendekezwa na (wa)muhusika, wapelekwe sehemu husika ili wakabiliane na wahusika kwa kujieleza na kuulizwa maswali na mambo mengine kwa ajili ya kuwapima uwezo wao badala ya kuteuliwa tuu moja kwa moja, hii ya kuwateuwa tuu koz ww ni kiongozi mwisho wa siku nchi ita jaa waheshimiwa maana aliyeteuliwa baada ya wiki kaonekana hafai nakuteuliwa mwengine.

Kwa mfano (wale wanao teuliwa tuu) wanao hitajika kuwekwa hadharani kabla ya kupewa nyadhifa au dhamana:-
Raisi
Waziri (Mkuu)
Mbunge
Muwakilishi
Diwani
DC & RC
Spika
Manaibu waziri
Mameya

Alie achwa utamuongeza.
 
Back
Top Bottom