Search results

  1. M

    NHIF yakusudia kusitisha Mkataba wa Huduma kwa Hospitali za APHTA Ikiwemo Aghakani na TMJ

    Nina wasi wasi na hii barua...Imeelekzwa TMJ...lakini Mkataba unavunjwa na Aga Khan:rolleyes::rolleyes::rolleyes:
  2. M

    Joseph (BORN 1973) mtoto wa Pili Athanas na Patric (BORN 1973) mtoto wa Wanjila Zakharia mnatafutwa na Baba yenu

    Habari za leo wanajamvi, NINATUMA UZI HUU KUFUATIA UZI Nilioutuma Novemba 2008: Bado sijawapata ndugu zangu Joseph na Patrick (Watoto wa Afande Lemson Jonas Mgalla aka Afande SOKOMOKO WA MSALATO): 1. Patric ambaye mama yake ni Wanjila Zakaria. Patric alizaliwa Dodoma mwaka 1973 maeneo ya...
  3. M

    Ni mimi kilaza au Tanroads: Sioni umuhimu wa taa za kuongoza magari Sam Nujoma vs Simu 2000 (Mawasiliano)

    Habari wana Jamvi, Sioni umuhimu wa Taa za kuongoza magari makutano ya Samnujoma/SIMU 2000 (Mawasiliano) wakati zinaruhusu magari yanayotoka Mwenge na Mawasiliano kwa pamoja?
  4. M

    Sipendi ugali kabisa na ninaishi

    ....ongea taratibu na tema mate chini. Hata sisi wa hali ya chini hatuupendi ugali ....ila ndio hatuna uwezo wa kula tunavyovitaka
  5. M

    Hotuba ya kwanza ya Albert Chalamila kama RC wa DAR mbele ya Rais Samia

    ....ameongea vizuri sana...Big up Mh. Chalamila
  6. M

    Dkt. Jakaya Kikwete amtunuku Rais Samia Shahada ya Udaktari wa Heshima UDSM. Sasa ni Dkt. Samia

    ...Ukweli anastahili kwani kuwa Rais wa nchi si kila mtu anaweza....Hongera MAMA...
  7. M

    Mchungaji Eliona Kimaro asema vijana wa Kiislamu ni waaminifu kuliko vijana wa Kikristu

    ...kumbuka pia sio wote walioHUKUMIWA wametenda makosa
  8. M

    Mchungaji Eliona Kimaro asema vijana wa Kiislamu ni waaminifu kuliko vijana wa Kikristu

    kweli kabisa wenzetu waislam ni waaminifu na hufuata haki ukilinganisha na sisi Wakristo....Kielelezo kizuri hebu tazama matajiri wafanyabiashara waliowengi ni Waislam...Kingine tazama tawala zote 1,2,3,4,5 na 6....utagundua 2,4 na 6 zimekuwa tawala zenye HOFU NA MUNGU kuliko zingine...Achana na...
  9. M

    Nataka mwanaume anayefanya kazi

    ...Demu anazingua kweli huyo...
  10. M

    Manara adai hakuna wa kumuua Makonda labda afe kwa 'stress' zake mwenyewe. Amtaka awaombe msamaha watanzania kwa dhulma

    .....Umenena vyema Manara....Siku ukija huku kijijini kwetu nitakuzawadia JOGOO
  11. M

    Wanajeshi kwa waliohusika na tukio hili wawajibishwe

    Kaka ninakupongeza kwa kuwa SMART na kurekodi. . .ijapokuwa sijapenda uliposema una mjomba wako MBUNGE. Kingune hilo jamaa na askari wenye uniform ni WAJINGA KWELI. Binafsi sio askari na sina mafunzo ya uaskari.....lakini kwa akili ya kawaida walijiweka ktk RISK .....maana jamaa wangekuwa na...
  12. M

    Wakili Kibatala anajua sana alifanyalo. Ni lazima akuchanganye tu

    Ukisikia KIPAJI ndio hiki. Yaani hata kama Jaji anajipanga kupendelea. Roho Mtakatifu ndani yake anamkatalia.
  13. M

    Kipengele cha kuwabeba Polisi wasishtakiwe katika Muswada mpya chafutwa na Serikali

    ....Hii ni IBADA TOSHA...asante sana umenigusa
Back
Top Bottom