Sijui twa elekea wapi nimeshuhudia kwa macho yangu viongozi wa vyama tofauti wakilushiana maneno machafu badala ya kupatana ili kuunganisha wafuasi wao kuheshimiana na kusaidiana jamani kheee! Kabda.
Naombeni msaada jana nilikua na demu tunataka kufanya tendo la ndoa lakini mara ya sita sasa kila nikiwa na mwanamke uume hausimami sawasawa na tangia ni zakiwe sijawahi kufanya tendo la ndoa nifanyeje!
Siku kadhaa zilizo pita maeneo ya nyamhongoro igoma mwanza watu wapatao 7 wamevamia guest mida ya saa 12 jioni kabla ya yote wali piga lisasi hewani ili kutisha wananchi lakni wananchi wali kakamaa natkupambana nao na kufanikiwa kuwauja wahalifu 2 walikutwa na risasi 700 .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.