Search results

  1. babumapunda

    Vyombo vya habari binafsi, mbona kama kuna upendeleo mkubwa kwa CCM

    Kwa takriban week tatu sasa mfululizo matukio mengi ya kisiasa yanayohusu wapinzani yanapewa nafasi finyu sana kwenye vyombo vya habari vya binafsi na serekali. Hili limeonekana kuanzia kwenye TV, Radio, mpaka online tv blogs pamoja na pages zinazomilikiwa na vyombo mbali mbali vya habari kwenye...
  2. babumapunda

    Dodoma: Ajali yaua Watatu akiwemo DAS Handeni

    Watu Watatu wamefariki dunia akiwemo Katibu Tawala (DAS) wa wilaya ya Handeni mkoani Tanga Mwalimu Boniface Maiga Jumaa baada ya Gari mbili kugongana mkoani Dodoma usiku wa kuamkia leo. Ajali hiyo pia imesababisha majeruhi kadhaa akiwemo Mbunge wa Handeni Mhe.Omary Abdallah Kigoda. Kamanda wa...
  3. babumapunda

    Nchambi na kesi ya Uhujumu Uchumi: Dhamana ipo wazi

    Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Shinyanga, imetoa maamuzi kuwa Mbunge wa Kishapu Suleiman Nchambi, ambaye anashitakiwa kwa makosa 12 ya Uhujumu Uchumi, ana haki ya kupewa dhamana kwa masharti. Akitoa maamuzi ya maombi ya dhamana hiyo leo Mei 15,2020 Jaji wa Mahakama hiyo Phocus Mkeha, ambaye...
  4. babumapunda

    Spika Ndugai atangaza kutambua Ubunge wa Cecil Mwambe aliyejiuzulu Ubunge na uanachama CHADEMA

    Hii nchi ina maajabu sana, pamoja na mbunge tajwa hapo juu aliekuwa akiwakilisha jimbo la Ndanda kupitia CHADEMA kutangaza kujiuzulu ubunge na kujivua uanachama wa CHADEMA na kujiunga na CCM lakini bado anaendelea kupata stahiki zote kama mbunge na Ndugai bado anamtambua kuwa Cecil Mwambe ni...
  5. babumapunda

    Wana-CCM wameanza kufikiria kwa kutumia ubongo sasa

    MH RAIS TOA KAULI NZITO Na Thadei Ole Mushi. NO we need to change our strategies towards Corona Virus. Naangalia kinachoendelea Sasa Kama tusipobadili mbinu tunakwenda kuisikitisha Dunia. Hata Mimi mwanzo nilidhani hii Corona hautatutikisa kwa kiwango hiki nisamehewe katika hili kama kuna...
  6. babumapunda

    Tunacheza mziki tusiojua mdundo

    Na Thadei Ole Mushi. 1. Hii Kesi mwanzoni ilionekana Kama Ingewavuruga Chadema na kuwatoa kwenye mstari. Lakini imegeuka kuwa fursa ya kufanya Siasa na kuandikwa na magazeti na media ambazo zilikuwa haziwaandiki Sana. 2. Kesi imezidisha attention kwa mataifa ya njee kuifutilia Tanzania hasa...
  7. babumapunda

    Jangwani hapapitiki kuna mafuriko

    Kwa wale mnaopanga kutumia barabara ya hali tete jioni hii gari zinazotoka Mapipa kuja mjini haziingii na zinazotoka mjini uelekeo wa Mapipa pia hazitoki foleni ni kubwa sana kuna kila dalili ya Jangwani kufungwa ili kuzuia magari yasipite sababu ikiwa ni mafuriko.
  8. babumapunda

    Si vibaya tukapeana angalizo na kukumbushana

    Nawakumbusha tu, Malaya hasikiagi nyege anawaza pesa yako tu so usije ukaonesha ujuzi au kuchosha pingili zako za mgongo kojoa mpe chake sepa... Niongeze sauti au inatosha[emoji1529][emoji441] WABEBA LAWAMA
  9. babumapunda

    Si vibaya tukapeana angalizo na kukumbushana

    Nawakumbusha tu, Malaya hasikiagi nyege anawaza pesa yako tu so usije ukaonesha ujuzi au kuchosha pingili zako za mgongo kojoa mpe chake sepa... Niongeze sauti au inatosha[emoji1529][emoji441] WABEBA LAWAMA
  10. babumapunda

    TANZIA Aliyewahi kuwa Waziri na Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL, Omary Nundu amefariki dunia

    Waziri wa zamani nchini Tanzania, Omary Nundu amefariki dunia na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), imethibitisha. ****** Mwenyekiti wa Bodi ya kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania, Dk Omary Nundu (71) amefariki dunia. Taarifa iliyotolewa leo mchana Jumatano Septemba 11, 2019...
  11. babumapunda

    Tanzia: Mchekeshaji Boss Martha afariki dunia

    Msanii wa vichekesho toka Cheka Tu ajulikanae kwa jina la Boss Martha afariki dunia. Martha amefariki Asubuhi ya leo baada ya kuugua ghafla kwa kipindi kifupi. Inaelezwa kuwa alikuwa akiugua uti wa mgongo uliopelekea kupata homa kali. Na itoshe kusema,,,Apumzike kwa Amani
  12. babumapunda

    Tips 6 za kuchepuka

    1. Usipokee simu ukiwa na mke wa mtu, unaweza kuwa unafuatiliwa ili uuliwe fala wewe. 2. Usitumie gari yako inayofahamika, chukua Taxi, UBER, bajaj au boda boda kuku wewe. 3.Usiandikishe jina lako sahihi ukiwa gest, tafuta jina bandia, andika hata Kinjekitilie Matinginya ng'ombe wewe. 4...
  13. babumapunda

    UTOFAUTI YA WATU WA DAR NA WATU WA MKOANI NI HUU

    Umeenda semina Njombe, una ndugu yako kule. Unamtaarifu unakuja kumtembelea. Anakuambia karibu sana. Anakuelekeza panda daladala za Ramadhani shukia kwa Sanga. Unashuka stendi unamkuta ndugu yako na mkewe na watoto stendi wamekuja kukupokea! Mnatembea kitambo na kufika kwake. Watoto waliobaki...
  14. babumapunda

    Mzee Kilomoni maswali yake makubwa ni haya.

    1.Mo ni mfadhiri wa Simba au ni Mmiliki wa Simba? 2.Kama ni Mmiliki huo Umiliki umekamilika lini? hizo 49% kazipata lini? Pesa zake ziko wapi? 3.Kama yeye ana 49% na Club ina 51 % kwanini yeye ndio Rais wa Club na yeye ndio anateua Mtendaji mkuu wa Timu ? 4.Na kwanini Mo awe mmiliki wa Timu...
  15. babumapunda

    MSAADA material ya form V na VI PCB

    wakuu nakusanya material ya kidato cha tano na sita kwa ajili ya mdogo angu aliepangiwa kusoma combination ya PCB kama kuna mtu anaeza nisaidia juu ya hili anipm tuone tunafanikishaje hili natanguliza shukrani
  16. babumapunda

    umemtambua nani katika picha

    kwenye mkusanyiko huu wa watu wengi mashughuli duniani umefanikiwa kumtambua nani
  17. babumapunda

    HIZI NDIO SIFA ZA KILA MKOA TANZANIA;je zina ukweli??

    1.DAR-Utapeli 2.ARUSHA-Ujangili 3.MBEYA-Matukio 4.MWANZA-Fujo 5.TANGA-Mapenzi 6.MOROGORO-Starehe 7.DODOMA-Kuomba 8.IRINGA-Ulafi 9.RUVUMA-Ulevi 10.RUKWA-Uchawi 11.TABORA-Mikosi 12.SHINYANGA-Njaa 13.SINGIDA-Kukeketwa 14.KAGERA-Misifa 15.LINDI-Uoga 16.KIGOMA-Ubishi 17.PWANI-Umwinyi...
  18. babumapunda

    Wabunge gani wanaunda Kamati ya Maadili?

    Wakuu ningependa kujua wabunge wanaounda kamati ya kudumu ya Bunge ya Haki,maadili na madaraka ya Bunge pamoja na vyama wanavyotoka na kama kuna balance ya wajumbe wa kamati toka upinzani na ccm kwenye kuunda kamati hii. Sent using iphone
  19. babumapunda

    Jinsi maisha ya wadada yanavyokuwa

    Kuanzia miaka 14 hadi 18 anachezeana na wanafunzi wenzake huko hajui lolote kuhusu shule yeye ni kuoga na kupunguza skirts zake tu, mrembo wa shule, kichwani bila bila yaani tupu ( utupu ) anadhani alizaliwa vizuri zaidi ya wengine.Kuanzia miaka 18 hadi 24 Anataka boyfriend handsome Mwenye pesa...
  20. babumapunda

    Msaada nahitaji 'Material' ya masomo ya Physics, Chemistry na Biology

    Wakuu kwa yoyote anayeuza 'material' ya sekondari kwa masomo ya Physics, Chemistry na Biology anitumie ujumbe(PM) Nakusanya material kwa ajili ya mdogo angu anategemea kuingia kidato cha tano mwaka huu. Vitabu, chandy chemistry 1&2, Principle of Biology pamoja na Physics nelkon & Philip parker...
Back
Top Bottom