Msaada nahitaji 'Material' ya masomo ya Physics, Chemistry na Biology

Msaada nahitaji 'Material' ya masomo ya Physics, Chemistry na Biology

babumapunda

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
4,644
Reaction score
3,328
Wakuu kwa yoyote anayeuza 'material' ya sekondari kwa masomo ya Physics, Chemistry na Biology anitumie ujumbe(PM)

Nakusanya material kwa ajili ya mdogo angu anategemea kuingia kidato cha tano mwaka huu.

Vitabu, chandy chemistry 1&2, Principle of Biology pamoja na Physics nelkon & Philip parker au chandy
 
wakuu kwa yoyote anayeuza material ya advance comb ya PCB anipm,nakusanya material kwa ajili ya mdogo angu anategemea kuingia kidato cha tano mwaka huu.

vitabu,chandy chemistry 1&2 ,principle of biology pamoja na physics nelkon&philip parker au chandy

Unaweza niiuzia material yote aliyotumia mdogo wako nimpelekee mdogo wangu huko mkoani maana kule mambo ya tuition hayapo mkuu..

Kama uko dar ni PM tufanye biashara..
 
Unaweza niiuzia material yote aliyotumia mdogo wako nimpelekee mdogo wangu huko mkoani maana kule mambo ya tuition hayapo mkuu..

Kama uko dar ni PM tufanye biashara..

Ntakupm mkuu


Sent using iphone
 
Back
Top Bottom