Nchambi na kesi ya Uhujumu Uchumi: Dhamana ipo wazi

babumapunda

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
4,644
3,288
2391009_99E0653F-678C-4948-9625-1CD22C9D5F86.jpg

Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Shinyanga, imetoa maamuzi kuwa Mbunge wa Kishapu Suleiman Nchambi, ambaye anashitakiwa kwa makosa 12 ya Uhujumu Uchumi, ana haki ya kupewa dhamana kwa masharti.

Akitoa maamuzi ya maombi ya dhamana hiyo leo Mei 15,2020 Jaji wa Mahakama hiyo Phocus Mkeha, ambaye alikuwa akisikiliza maombi ya dhamana hiyo, amesema mbunge huyo ana haki ya kupewa dhamana kwa masharti ya kusaini bondi ya Shilingi Milioni 50, na mdhamini wake bondi ya Milioni 10, pamoja na kushikiliwa passport yake ya kusafiria,.

Chanzo: Nipashe

Pia soma > Mbunge wa Kishapu, Suleiman Nchambi (CCM) mbaroni kwa kukutwa na Silaha 16 na risasi 536 - JamiiForums

My Take:Nchi hii sasa sheria za mahakama zetu naona zinatofautiana.,Wapinzani na Makada kesi zinaendeshwa kwa sheria tofauti naona.

Maendeleo hayana chama jamani.
 
Tujielimishe kidogo by fb attorney

Unbailable offences are listed in the penal legislations. Currently, unbailable offences are listed in section 148(5)(a) of the Criminal Procedure Act and section 29(1) of the Drug Control and Enforcement Act, 2015. Section 36(4) of the Economic and Organised Crime Control Act can also make an economic offence unbailable though for now that provision does not list any economic offence. Unbailable offences under the Criminal Procedure Act are murder, treason, armed robbery, terrorism, money laundering, and human trafficking.

The biggest challenge to bail nowadays is money laundering. Once money laundering is charged along with bailable predicate offences, the entire case becomes unbailable. Hence, although the predicate offence is in itself bailable, because it is charged with money laundering, one is denied bail. The list of predicate offences is very long and includes offences like tax evasion, terrorism, corrupt practice, armed robbery, theft, smuggling, extortion, forgery, hijacking, insider dealing, poaching, illegal fishing, illegal mining, environmental crimes to mention a few. Hence it is possible to make many offences unbailable by charging the predicate offence along with money laundering meaning that bail can be denied even for offences that would normally be bailable.
 
..hakuna kesi mbili zinazofanana " one-to-one ."

..ila kuna MASHITAKA yanayofanana.

..sasa Mbunge wa CCM amepewa dhamana wakati Jamhuri imemfungulia mashitaka yasiyo na dhamana.
Umeshajijibu hakuna kesi mbili zinazofanana. Kwa hiyo ndio jibu. Money laundering haina dhamana. Je kukutwa na nyara na bunduki zisizo na kibali inadhamana? Zote ni uhujumu uchumi.
 
Umeshajijibu hakuna kesi mbili zinazofanana. Kwa hiyo ndio jibu. Money laundering haina dhamana. Je kukutwa na nyara na bunduki zisizo na kibali inadhamana? Zote ni uhujumu uchumi.

..hukunielewa.

..nimesema hakuna "kesi" mbili zinazofanana.

..lakini kuna "mashtaka" yanayofanana.

..Kesi za Uhujumu Uchumi hazina dhamana.

..ndiyo maana watu wanashangaa.

..unless jamhuri "ilifanya-fanya" kumbadilishia mashtaka ili kuwezesha mbunge wa ccm atoke kwa dhamana.
 
Siku hizi siwasikii kina.kibatala na kesi zao zisizo na kichwa wala miguu.
 
..hukunielewa.

..nimesema hakuna "kesi" mbili zinazofanana.

..lakini kuna "mashtaka" yanayofanana.

..Kesi za Uhujumu Uchumi hazina dhamana.

..ndiyo maana watu wanashangaa.

..unless jamhuri "ilifanya-fanya" kumbadilishia mashtaka ili kuwezesha mbunge wa ccm atoke kwa dhamana.
Kesi? Makosa yote ya uhujumu uchumi hayana dhamana?
 
Back
Top Bottom