Search results

  1. Viva89

    Unaweza date current ex wa rafiki yako?

    Jamani jamani, kuna mdada kaachana na boyfriend wake, hata mwezi haujapita rafiki wa yule jamaa akaanza kumtongoza, pamba moto hatari, demu akamuambia siwezi toka na Wewe kwa sababu wewe na ex wangu marafiki, mtu haelewi. Kiukweli mi nadhani amblock kwa sababu namuona sio mtu mzuri. Mnaonaje...
  2. Viva89

    Natafuta mashine ya Selcom used

    iwe toleo jipya ila iliyotumika hela shida sa hivi, bei ya mpya sifiki. Nitumie message tuwasiliane zaidi.
  3. Viva89

    MDs wa kampuni za KITANZANIA BADILIKENI!

    Habari zenu wakuu, Naamini wote salama, na kama sio basi Mungu akufanyie wepesi maisha yasonge mbele. Mimi ni Mtanzania na katika eneo la kazi niliyopo sasa Mungu kanijaalia, nina uwezo wa kuamua kazi fulani iende kampuni fulani au la. Kwa ajili ya hiyo, ninazipa sana kipaumbele kampuni za...
  4. Viva89

    Elimu Sasa Platform

    Jioni hii baada ya kumaliza kazi zangu nimeona nipitie mtandaoni kwa kaka Issa Michuzi. Cha kwanza nilichosoma ina 'heading' ya Elimu Sasa. Kwa ufupi inahusu kutoa taarifa kwa njia ya meseji kwa mzazi kuhusu maudhurio ya mtoto wake shuleni. Nikawa 'interested' na kuamua kufungua 'website' yao...
  5. Viva89

    Elimu Bure;shida tumezoea mteremko

    wapendwa, habari zenu nimeangalia habari sasa hivi ITV nimekutana na habari ya wananchi kule Bagamoyo sijui kijiji gani wakilalamika na kusema hawatawapeleka watoto wao shule kwa kuwa shule imewaambia watoe mchango wa laki mbili (200,000) kwa ajili ya chakula cha watoto na kwamba Rais alisema...
  6. Viva89

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015

    msizingue ati...watu wako tayari, watu wamejipanga
  7. Viva89

    Vodacom time yao ni tofauti na time system ya dunia nzima

    Apparently, Siku nzima in Vodacom manual (or whatever they use) means 12hrs..as according to their Cheka timings..nawapigia customer care wanasema ooh tumebadilisha siku nzima ni masaa 12, tena yuko confident kabisa, ikabdi niseme, kwa kizungu sasa, is a day equal to 12hrs?!..these people are...
  8. Viva89

    Natafuta Toyota Platz

    Wapendwa, Natafuta hilo gari, Automatic transmission,mileage isizidi 95,000kms,iwe katika hali nzuri. Kama unayo ni-PM namba yako nikupigie
  9. Viva89

    Avatar Creativity

    these past few weeks nimekereka, watu sio fair wala nini watu hawako creative na avatar zao... mtu kaona avatar picha ya Denzel, na yeye anaweka Denzel, wkt hiyo mi nimezoea kumuona the Boss,mfyuuu.. kaona red rose, na ye kaweka wkt nimezoea kumuona miss chagga masikio makubwa, na ye kaweka...
  10. Viva89

    The so-called "relationship"

    Hellows, Jana nikasikia kitu that made me wonder kdogo abt a certain relationship (ikanibidi niite the so-called)..sasa jamaa kafuatilia kabinti ka watu hadi kakapigika sound. They barely meet weekdays,weekend kabinti kanamtafuta the guy,mara nitaenda job nikitoka ntakucheki ila bati,kila...
  11. Viva89

    Samsung TrendLite for sale 80,000/=

    samsung duos..inafanya kazi vizuri, haina matatizo..back cover imepasuka kiasi na kuchubuka rangi ila inafanya kazi vizuri tu, kama uko interested ni PM
  12. Viva89

    Is your parent on JF

    Mine is! ha haaa Hellos wapendwa, Ni hivi, my parent yupo humu JF, najua hadi jina lake humu ndani, how did i knw? siku tupo kifamilia zaidi, ila ye kashikilia tablet yake kaboreka mwenyewe, sijui alikuwa anaandika nini, baada ya muda nikasimama mindind my own business heading elsewhere...
  13. Viva89

    Nokia X2- 02 inahitajika

    habari wapendwa, kama title inavosema, nahitaji nokia x2 - 02..kwa yeyote aliyonayo aniPM tuongee
  14. Viva89

    Leo nimeshuhudia ukarimu wa watu wa Mbeya

    hello wapendwa, Nipo Mbeya kikazi for a while, kuna mdada nimesikia anafanya kazi redioni,hiyo Highlands fm kafiwa na mtoto wake, (nimejua sababu mimi mmoja wa niliotoa mchango) kwa nilivyosikia muajiri na wafanyakazi wenzake wamejitoa kweli. Ila kilichonigusa wanyakyusa hawa, kila gari...
  15. Viva89

    Swali kuhusu "Football Coaches" wa timu za Tanzania

    hello wapendwa, nina kaswali kadogo, mi si mpenzi sana wa mpira wa miguu, ila kila nikiangalia habari za michezo timu zikiwa zinasajili Coach, unakuta ni coach mzungu mzeeee hadi basi, they look 65 au 70...kwani hakuna macoach vijana?! au hawafai..au ndio old is gold
  16. Viva89

    Leo nina hasira!

    Habari zenu wapendwa, Yaani mimi mwenzenu leo sijui nina tatizo gani, kila mtu leo ananikasirisha, hata sielewi ni nini, sijui watu wameamua kunijaribu?!. Halafu kibaya zaidi kila kitu leo kimeenda ovyo toka asubuhi hadi sasa hivi. Yaani hasira ya almost siku nzima, yani one of those really...
  17. Viva89

    Thread ambayo kila nikiikumbuka nacheka: Shida VX

    Goodmorning Wapedwa, So leo, nimekumbuka msala wa mtu aliutoa humu JF nikaanza kucheka mwenyewe...eti it went like this... huyo jamaa alitoa post humu JF kutafuta rafiki wa kike, dada wa watu i think akamPM, wakaanza kuchat weeee wakasema siku wakutane, siku hiyo dada wa watu kahawi kufika...
  18. Viva89

    Wadokozi wa Sadaka

    Habari wapendwa, hebu niwaelezeeni kero yangu ya leo ambayo imeniuma nusu nilie...mi ni mtoaji mzuri wa fungu la kumi/zaka siku hizi, na ninatoa kila nikifanikiwa kupata chochote compared to nilivyokuwa zamani, kwa uaminifu, sasaaaa, nipo kijijini kikazi(kijijini mjini) kwa mda kdgo,na...
  19. Viva89

    Swali kuhusu Airlines: Je, wanalipa VAT?

    Habari zenu wandugu, Naomba kwa mtu anaeweza kunielimisha anisaidie kwa hili, hizi airlines zetu (mf: Fastjet, Precision Air, Air Tanzania na zingine), wanalipa VAT? Nauliza kwa sababu huwa tunalipishwa ila risiti hatupewi, tunapata ticket tu. Sasa VAT tunayolipia ni ya nini? Naomba...
  20. Viva89

    Picha inaukweli hii

    haya maneno yamenigusaa
Back
Top Bottom