Viva89
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 1,262
- 530
these past few weeks nimekereka, watu sio fair wala nini
watu hawako creative na avatar zao...
mtu kaona avatar picha ya Denzel, na yeye anaweka Denzel, wkt hiyo mi nimezoea kumuona the Boss,mfyuuu..
kaona red rose, na ye kaweka wkt nimezoea kumuona miss chagga
masikio makubwa, na ye kaweka wkt nimezoea kumuona masopakyindi
identity bwana,kitu kingineeee hahahaaa