Viva89
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 1,262
- 530
Hellows,
Jana nikasikia kitu that made me wonder kdogo abt a certain relationship (ikanibidi niite the so-called)..sasa jamaa kafuatilia kabinti ka watu hadi kakapigika sound. They barely meet weekdays,weekend kabinti kanamtafuta the guy,mara nitaenda job nikitoka ntakucheki ila bati,kila wkend during the day bati...hahahaaa
Sasa we jamaa ulikuwa unakatongoza kabinti ka watu kuona kama u still got it au?!..haya mmedecide kuchukuliana kma lovers alafu u pple dnt meet,dnt go out,au ndio relationshp ya watsapp?! This generation is full of lies
Good are the ones that are real. BE REAL in relationships jamani