Viva89
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 1,261
- 526
Jioni hii baada ya kumaliza kazi zangu nimeona nipitie mtandaoni kwa kaka Issa Michuzi. Cha kwanza nilichosoma ina 'heading' ya Elimu Sasa.
Kwa ufupi inahusu kutoa taarifa kwa njia ya meseji kwa mzazi kuhusu maudhurio ya mtoto wake shuleni. Nikawa 'interested' na kuamua kufungua 'website' yao kama ilivyoelekezwa kwenye tangazo hilo.
Mwe! Kyala gwangu!..
Naomba niwashauri watu wa Elimu Sasa, kwa kuwa tunaongelea masuala ya elimu, ninawaomba mpate mtu wa kurekebisha kiingereza kilichoandikwa kwenye 'website' yenu, sana sana sehemu ya 'FAQs' lasivyo ni bora muandike kwa kiswahili tu yaishe.