Viva89
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 1,262
- 530
Mine is! ha haaa
Hellos wapendwa,
Ni hivi, my parent yupo humu JF, najua hadi jina lake humu ndani, how did i knw? siku tupo kifamilia zaidi, ila ye kashikilia tablet yake kaboreka mwenyewe, sijui alikuwa anaandika nini, baada ya muda nikasimama mindind my own business heading elsewhere, nikapita nyuma yake, ila nilivyogeuka nikaona JF, kwa umbea wangu nikaona niisogelee, nikaona na jina ha ha!
Sasa naweza kuwa nasoma thread humu nikamuona na yeye huyo...mbishi huyoooo, khaaa! yani comments zingine anazoandika nabaki kushangaa, zingine nacheka, ila siku zingine namsupport humu, sana tuu, ye hajui tu...
Ila Dad punguza ubishiiii khaaa!