Viva89
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 1,262
- 530
Goodmorning Wapedwa,
So leo, nimekumbuka msala wa mtu aliutoa humu JF nikaanza kucheka mwenyewe...eti it went like this...
huyo jamaa alitoa post humu JF kutafuta rafiki wa kike, dada wa watu i think akamPM, wakaanza kuchat weeee wakasema siku wakutane, siku hiyo dada wa watu kahawi kufika akawa anamsubiria jamaa. Sasa jamaa usafiri shida akawa amechelewa kidogo, so kufika wakakutana, wakaongea weee, ikafika mda dada wa watu akasema yeye inabidi aondoke. Ha ha ha! sasa jamaa akasema poa, anasubiria amsindikize kadadaaa kupanda basi au bajaji, kwa mshangao wake dada kaingia kwenye VX huyoo kaendesha zake kaondoka.
Sasa kinachonichekesha kila nikikumbuka hii stori ni the look on the guys face wakati kadadaaa anaondoka na VX, cause alivyoandika ni kama alishangaa sana, na akasema hakumtafuta tenaaa toka siku hiyo. hahahahaaaaa!
Jamani wanaume, kwani mnaogopa kadadaa aneendesha VX??labda sio lake jamanii, kahitaji usafiri fasta akaomba akaja hapo. Jamani Jiamini! ha ha ha!
Yani kila nikikumbuka nacheka sana.