Viva89
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 1,261
- 525
hello wapendwa,
Nipo Mbeya kikazi for a while, kuna mdada nimesikia anafanya kazi redioni,hiyo Highlands fm kafiwa na mtoto wake, (nimejua sababu mimi mmoja wa niliotoa mchango) kwa nilivyosikia muajiri na wafanyakazi wenzake wamejitoa kweli.
Ila kilichonigusa wanyakyusa hawa, kila gari linalopita pale mtaani kwake linasimamishwa na kuombwa mchango wa msiba, ndugu wako pale wanaandika na jina na hela unayotoa na kweli watu wanatoa mchango 1000,500,2000,5000 etc. zinapokelewa na kupelekwa kwa ndugu pembeni,hadi pikipiki nimeshuhudia wanatoa.
Ni magari ya serikali tu ndio nimeona 3 yamepita tu, na fuso na basi moja, sijui mengine.
Baada ya kuona hivi nikasema, kama kusaidiana hawa wanasaidiana, maduka yote yamefungwa kasoro duka la wanalouza samaki.
Jamanii, i had never seen this so imenigusa sana
Pardon me kwa maneno mengi, ishi vizuri na majirani jamani na hautaumbulika, huyu dada na familia yake wanasema sio wa Mbeya, hana ndugu hapa ila majirani,marafiki na muajiri wamesaidia.