Search results

  1. N

    Gari nissan tiida bei 4,500000/-

    Gari nissan tiida inauzwa Bei 4,500,000/- Inahitaji service,kuweka Engine oil,Gear box oil,kubadilisha filter Gharama ya fundi kwa service zote unakabidhiwa gari ni 500,000/- picha check attachments Gari lipo Dar,maeneo ya Airport 0629068815
  2. N

    Waandishi wa blog za habari, vipaji na taaluma sasa kunufaika zaidi

    Mtandao wa Nijuze ambao unamilikiwa na shirika lisilo la kiserikali la TYEEO limezindua mtandao wa kijamii utakao saidia wanataaluma na watu wenye vipaji mbalimbali kuandika machapisho mbalimbali kupitia mtandao huo na baadae kujiingizia kipato kupitia njia ya matangazo ya kibiashara yatakayo...
  3. N

    Nimeiunda social network hii.Wataalam wa IT karibuni kwa ushauri. kwa ushauri!

    Baada ya mwaka mmoja na miezi kadhaa,idea yangu imekuja kuwa harisi baada ya kile nilicho kuwa nakiota kutimia. Lengo langu lilikuwa ni kuunda mtandao wa kijamii ambao ungekuwa na mambo yafuatayo. 1.Watu wenye taaluma na vipaji waweze kupost articles zao zenye lengo la kuelimisha na...
  4. N

    Taaluma yako au kipaji chako ni ajira tosha acha kuhangaika soma hapa.

    Mtandao wa nijuze umeanzishwa rasmi kutumia vukiwa ni mtandao wa kwanza Tanzania kutumia vipaji na taaluma za watanzania katika kutangaza biashara na matangazo mbalimbali ya kibiashara.Watanzania ambao wana taaluma zao au vipaji wanaweza kushare kupitia nijuze na kujipatia kipato,Kama unajijua...
  5. N

    Matukio ya watu maarufu wenye followers wengi sasa kununuliwa,Watu maarufu kuoga mapesa

    Maisha ya mtu yamejaa vitu vingi vya kuvutia,kufurahisha na vingine vya kusikitisha na kutisha. Haijalishi ni jambo gani ulilonalo Nijuze inakupa nafasi ya ku-"share" na marafiki zako au watu wengine matukio au jambo lolote katika maisha.Kama vile;- -Maisha -Matukio -Hadithi -maigizo -Elimu...
  6. N

    Tangaza Biashara zetu kwenye Mitandao ya Kijamii tukulipe

    Wamiliki wa mitandao ya kijamii, ambao wana followers wengi na hivyo kujipatia LIKES za kutosha wataanza kulipwa kwa kila LIKE wanayopata. Thamani ya LIKE moja inaanzia Tsh 2/- hadi Tsh 10/- Katika mfumo huu unaoitwa Pay Per Like(PPL),itamlazimu mmiliki wa mtandao wa kijamii kuweka tangazo la...
  7. N

    Wanaopokea likes nyingi kwenye mitandao sasa kuoga mapesa

    Wamiliki wa mitandao ya kijamii, ambao wana followers wengi na hivyo kujipatia LIKES za kutosha wataanza kulipwa kwa kila LIKE wanayopata. Thamani ya LIKE moja inaanzia Tsh 2/- hadi Tsh 10/- Katika mfumo huu unaoitwa Pay Per Like(PPL),itamlazimu mmiliki wa mtandao wa kijamii kuweka tangazo la...
  8. N

    Mrisho mpoto Hongera,sijakuona katika majukwaa ya kampeni za kisiasa 2015

    Hongera mjomba,kama kweli hukuonekana kutumika kama daraja! Heshima yako itabakia kuwa juu daima,maana umekwepa meno ya wanasiasa kukutafuna kama muwa na mwisho kukutema ptuuuu! Njaa mbaya,njaa yaweza kusababisha utu kupotea,wangapi wameuza utu wao ili tu mkono uende kinywani? Kahaba...
  9. N

    Unadhani hapo lowassa kaona nini,Hahaa!

  10. N

    Lowassa amenifanya nikuchukie Diamond Platnumz

    Kati ya mashabiki waliokuwa wakikupigania huku mtaani Ni mm! Kati ya mashabiki waliokuwa wakiperuzi page zako za facebook,instagram na tweeter kila saa Ni Mimi! Kati ya shabiki ambaye nili kuwa nikiwachukia wabaya wako tena labda zaidi ya ulivyokuwa uliwachukia wewe Ni Mimi! Kila...
  11. N

    Kama wanaona ishu ni LOWASA basi UKAWA Wekeni JIWE ligombee urais ,tutachagua hilo hilo

    Huduma za Afya mbovu,Ajira hakuna,Umeme leo mwezi wa tatu huu shida tupu.Harafu mtu leo anasimama jukwaani na ahadi zile zile baada ya kupewa uaminifu na wananchi na kutawala nchi hii miaka hamsini matokeo yake nchi imeachwa katika hali hii ya kusikitisha wananchi tunaonekana wajinga. Wakati...
  12. N

    Mkoa gani utaifunika Dar kwa kimbunga cha mabadiliko ya kisiasa!

    Wakati mkoa wa Dar ulionekana kuwa nyuma kwenda sawia na muamko wa wananchi kutaka nabadiliko ya kisiasa huku ukionekana ni mkoa ambao ni ngome ya chama tawala;hatimae hali ya hewa imebadilika ghafla sasa kila kona unayo pita watu wanazungumzia kutaka mabadiliko wimbo unao imbwa ni...
  13. N

    Kwa maeneo yaliokatwa umeme ITV mtusaidie

    Watu wameandika post kibao leo wakitoa tahadhari kwamba kutokana na vuguvugu la kisiasa leo kuwa moto dar TANESCO wanaweza kata umeme kabla ya taarifa za habari za usiku. Kama utani vile umeme umekatwa kweli mida hiyohiyo ya kuanza kwa habari katika vtuo mbalimbali vya tv. Pia inavyo...
  14. N

    Dodoma kimenuka, Polisi watanda eneo la mkutano, baadhi ya wananchi wanaandamana

    Baadhi ya wajumbe wamempokea mwenyekiti wa ccm,wakati akiingia kwenye kikao leo asubuhi Ndugu Jakaya mrisho kikwete kwa nyimbo ya "Tunaimani na Lowasa oyaaaa oyaaa oyaaa x3.Badala ya kuimba tunaimani na Kikwete. Kabla hali hiyo haijatulia wananchi waandamana nje ya jengo la mkutano la...
  15. N

    Topic gani muhimu kwa a level, Commerce na Economics

    Msaada jamani kama heading inavyo jionesha!
  16. N

    Fundi umeme anahitajika haraka

    -Fundi umeme anahitajika kwa ajiri ya kufanya kazi ya hudumia mitambo ya umeme katika kiwanda cha kufyatua matofali Dar es salaam. -Awe na elimu ya ufundi umeme kutoka vyuo vinavyo tambuliwa kisheria kuanzia veta na kuendelea -Akiwa na elimu ya electronics kama ziada ni bora zaidi -kazi ni full...
  17. N

    Nina 100000 nahtaji digital camera sasa hv npo kkoo

    0657115587
  18. N

    Tv yenye king'amuzi

    Wakuu tv yangu aina ya bush flat screen ina king'amuzi(DVB)kimejengewa ndani yake,niki search channel zote znazo rushwa na startimes znakuwa detected lakn hazioneshi!je kuna uwezekano wa kufanya zionekane hata kama kwa kulipia?je nkifunga settelite dish la kawaida kitafanya kazi?
  19. N

    Nina 350000 nahitaji used LCD TV SCREEN nch 36

    Ni PM.
  20. N

    Wapi znapatikana used transformer kubwa kuanzia 2000 watt

    Anaye jua wap znapatkana anjuze,au kama mtu anayo an-pm tufanye biashara!
Back
Top Bottom