Mtandao wa nijuze umeanzishwa rasmi kutumia vukiwa ni mtandao wa kwanza Tanzania kutumia vipaji na taaluma za watanzania katika kutangaza biashara na matangazo mbalimbali ya kibiashara.Watanzania ambao wana taaluma zao au vipaji wanaweza kushare kupitia nijuze na kujipatia kipato,Kama unajijua wewe una taaluma au kipaji ambacho unaweza kushare na jamii jiunge sasa na nijuze ingia HAPA
Kufahamu ni namna gani mtandao wa nijuze unafanya kazi soma vipengere vifuatavyo,ambavyo waandishi wake watakua wakilipwa kupitia mfumo wa matangazo kulingana na watembeleji wa machapisho yao.
1. Elimu
-Kipengele hiki kitawahusu walimu ambao wanatambulika kisheria,ambapo watakua wakifundisha masomo mbalimbali ya ngazi tofauti tofauti,kuanzia shule za awali hadi vyuo vikuu.Ambapo wanafunzi wa ngazi tofauti tofauti watakua wakijifunza kupitia machapisho ya elimu ya walimu hawa.
2. Sheria
-Kipengele hiki kitawahusu wanasheria ambao wanatambulika kisheria,ambapo watakua wakiandika makala mbali mabali zinazo husu sheria,ili kuifanya jamii ijue sheria na haki zake.Hii itakua ni msaada kwa wanachi mbalimbali kujifunza maada mbalimbali za kisheria.
3.Afya
- Kipengele hiki kitawahusu madaktari ambao wanatambulika kisheria,ambapo watakuwa wakiandika machapisho mbalimbali yanayohusu afya ili kuisaidia jamii kujua namna ya kujikinga na kupambana na magonjwa mabalimbali.
4.Filamu
- Kipengele hiki kitawahusu wasanii mbalimbali wa filamu ambao watakua wakicheza filamu fupi (video clips) zenye ujumbe wa kuburudisha,kuelimisha au kuifunza jamii kuhusu jambo flani,video zao wataziweka katika ukurasa huu ili ziweze kutazamwa na wanajamii.Msanii ni vizuri akarekodi video fupi isiyo zidi dakika kumi,ili kuruhusu watazamaji kuweza kutazama na kuimaliza kwa muda.
Baada ya kurekodi msanii ataipakia video yake katika mtandao wa youtube na kuibandika katika Nijuze kwa kutumia “embedded code”.Wasanii wa kipengele hiki watanufaika katika kujitangaza pamoja na kupata nafasi ya kutangaza biashara mbalimbali kupitia kazi zao za kisanii hivyo kujipatia kipato.
5.Muziki
-Kama ilivyo kuwa kwa wasanii wa filamu pia kipengele hiki kitawahusu wanamuziki ambao wana nyimbo zao nzuri na wangependa mashabiki zao wazisikie,kwa mfumo ambao wao wanaweza kujipatia kipato,msanii ataweka wimbowake Nijuze,na kama msanii atapata nafasi ya kutangaza biashara kupitia ukurasa wake wa nyimbo basi Nijuze itamlipa kulingana na idadi ya wale watakao kuja kusikiliza wimbo/nyimbo zake kupitia ukurasa wake wa machapisho.
6.Uchambuzi magazeti
-Hawa ni wale ambao watakua wakichambua magazeti kila siku kupitia ukurasa wa habari za magazetini,Mcahambuzi atajitahidi kuchambua habari za magazeti mbalimbali ya siku husika kwa njia ya video,sauti au maandishi.Mchambuzi kupitia ukurasa wake anaweza kuwekewa matangazo ya kibiashara na akawa anajiingizia kipato kupitia kazi hiyo.
7.Stori ya kweli
Hiki ni kipengele ambacho mtu anaweza akawa anasimulia stori ambayo imewahi kumtokea katika maisha yake,ambayo ikaelimisaha,kuburudisha au ikatoa funzo kwa jamii ambayo itakua ikisimuliwa,Msimuliaji atakuwa akiwekewa matangazo ya kibiashara kupitia ukurasa wake na hivyo kujipatia kipato kulingana na idadi ya watu wanaokuja kusikiliza au kusoma stori yake.
8.Michezo.
Kipengele hiki kitahusu wachambuzi wa michezo ambao watakua wakiisimulia au kuchambua habari mabalimbali za michezo,wachambuzi watakua wakitangaza biashara mbalimbali kupitia matangazo mbalimbali yatakayokuwa yakipachikwa katika kurasa zao za machapisho,hivya mwandishi wa ukurasa huu atakua akilipwa kulingana na idadi ya watu wanaokuja kusikiliza au kusoma simulizi zake au uchambuzi wake.
9.Elimu rika.
Kipengele hiki kitahusu waelimisha rika ambao watakua wanatoa elimu maalumu kwa ajili ya kuelimisha vijana kuhusiana na mambo mabalimbali ya kijamii hasa ya uzazi na maisha pamoja na maadili mema.
10.Masoko ya bidhaa
Ni kipengele ambacho watu mbalimbali wa masoko watakua wakitoa taarifa ya bei ya bidhaa katika masoko mbalimbali ,pamoja na mwenendo mzima wa biashara,Hii itasaidia wafanya biashara kupanga mipango sahihi ya biashara zao pia itasaidia wananchi kufahamu bei ya bidhaa wanazo hitaji kununua kwa wakati huo,watu wa masoko pia watalipwa kutokana na watembeleaji wa kurasa zao.
11.Taarifa ya masoko ya kifedha.
Ni kipengele ambacho kitakua kikihusu kutoa taarifa za masoko ya fedha hasa kuhusu mabadiliko ya mabadilishano ya fedha dhidi ya shilingi ya Tanzania.
12.Kilimo bora.
Kipengele hiki kitahusu maswala yote yanayo husu kilimo,ambapo wataalamu mbalimbali watakua wakiandika na kuchambua namna bora za kilimo,wataalamu hawa watakao jitolea kutoa mafunzo mabalimbali kuhusu kilimo watakua wakilipwa kulingana na idadi ya watu watakao kuja kusoma machapisho yao.
13.Ufugaji.
Kipengele hiki kitahusu maswala yote yanayo husu ufugaji,ambapo wataalamu mbalimbali watakua wakiandika na kuchambua namna bora za ufugaji,wataalamu hawa watakao jitolea kutoa mafunzo mabalimbali kuhusu ufugaji watakua wakilipwa kulingana na idadi ya watu watakao kuja kusoma machapisho yao.
14.Ucheshi
Ni kipengele ambacho kinatoa nafasi kwa wasanii wa uchekeshaji kwa njia ya sauti,video au maandishi kuwaburudisha,na kuwaelimisha wadau wa Nijuze kupitia sanaa yao ya vichekesho.Mchekeshaji atalipwa kulingana na idadi ya watembeleaji wa ukurasa wake wa machapisho.
15.Urembo na Mitindo
Ni kipengele ambacho wataalamu mbalimbali wa mambo ya urembo na mitindo watakua wakitoa elimu na dondoo mbalimbali za urembo pamoja na mitindo.Wachambuzi wa wa kiopengerehiki pia watalipwa kwa kuangalia idadi ya watu walio tembelea kurasa zoa.
16.Tekinolojia.
Kipengele hiki kitawahusu wanasayansi mablimbali ambao watakua wakionyesha ubunifu na utaalamu wao mbalimbali wa kisayansi,pia kipengele hiki kitahusisha masimulizi mbalimbali ya kitekinolojia.Wachambuzi wa kipengele hiki watakua wakilipwa kulingana na idadi ya wale wanao tembelea kurasa zao.
17.Tiba mbadala
Hiki ni kipengele ambacho Madaktari wanao tambulika kisheria watakua wakichambua tiba mbalimbali zinazo husu magonjwa kupitia mfumo wa mbogamboga na matunda.
18.Nyota wetu.
Hiki ni kipengele cha watu maarufu tu!Kipengele hiki kitatumika na watu maarufu katika kuelezea mambo yao mbalimbali ya maisha,pia watatumia jukwaa hili kusema mambo mbalimbali yanao wahusu,watu hawa maarufu watatumia jukwaa hili kuwasiliana na mashabiki zao katika utaratibu wenye kumfanya aheshimike zaidi.
Kwa kupitia simulizi za maisha yake pamoja na changamoto mabalimabali anazo pitia,kupitia simulizi zake jamii iweze kujifunza ,na kuelimika kupitia machapisho hayo,pia ukurasa huu utatumika na watu hawa maarufu kuelezea “exclusive” mbalimbali za maisha yao.Wachapishaji wa ukurasa huu watakuwa wakilipwa kulingana na idadi ya watembeleaji wa kurasa zao za machapisho.
19.Sanaa na Uchoraji
Ni kipengele ambacho wasanii mbalimbali wa sanaa ya kuchora na kuchonga vinyago watakua wakionyesha kazi zao mbalimbali,hii itawasaidia kujitangaza na pia kupitia jukwaa hili wataweza kujipatia kipato kupitia idadi ya waatembeleaji wa kurasa zao za machapisho.
20.Familia
Hiki ni kipengele ambacho waelimishaji wa mambo ya ndoa na familia watapata fursa ya kuwa wanaandika makala mbalimabali zinazo toa mafunzo na elimu kuhusiana mambo ya wanandoa na familia.Machapisho haya yatahusiana na namna za ujenzi bora wa familia na utatuzi mabalimabali wa matatizo yanayotokea ndani ya familia na ndoa kwa ujumla.
21.Ususi na Ufumaji
Hiki ni kipengele ambacho watalamu wa ususi na ufumaji wa vitu mbalimbali watakua wakionyesha utaalamu wao wa namna ya kuvisuka au kuvifuma,utaalamu huo utawasaidia watu wengine ambao wameona kuweza kujifunza nawao kujiajiri kupitia kazi hiyo ya ususi au ufumaji wa vitu mbalimbali.Pia wachapishaji wa kipengele hiki wataweza kujitangaza kwa kuonyesha bidhaa zao mbalimbali.Wachapishaji hawa watalipwa kulingana idadi ya watembeleji wa kurasa zao.
22.Ujasiriamali.
Katika kipengele hiki elimu inayo husu ujasiriamali itakua ikitolewa na wajasiriamali mbalimbali.Wajasiriamali wakubwa ambao tayali wamefanikiwa katika biashara zao wanashauliwa kuja kutoa elimu hapa kuhusu mbinu mbalimbali ambazo zinaweza kuisaidia jamii wa wajasiriamali wengine katika kupambana na umaskini.Pia kwa wale ambao wanaweza kutengeneza bidhaa mbalimbali wanaweza wakaonyesha njia za utengenezaji bidhaa hizo kupitia video ili wajasiriamali wengine waweze kuongeza ujuzi na kupata mbinu mbalimbali za kupambana na umaskini.Wadau wa kipengele hiki pia watalipwa kulingana na idadi ya wasomaji wa makala husika.
23.Fikra pevu.
Hiki ni kipengele ambacho wataalamu wa elimu za fikra wanaweza kutumia jukwaa hili kuelimisha jamii ukweli kuhusu maisha,kujenga elimu ya watu wa rika mbalimbali katika kujituma kufanya kazi kwa bidii na kuacha kuwa wavivu.Elimu hii isaidie vijana katika uwa na mtazamo chanya kuhusu mazingira yao na iweze kuwafundisha namna sahihi ya kukabiliana na changamoto za maisha.
24.Blog habari
Hiki ni kipengele ambacho waandishi mablimbali wa blog watakua waki-share habari mabalimbali katika kipengele hiki,waandishi wa kipengele hiki watalipwa kulingana na idadi ya watembeleaji wanao enda kusoma habari katika kurasa zao za machapisho.
25.TV mtandaoni.
Ni kipengele ambacho wamiliki wa Tv mbalimbali za mtandaoni watakua waki-share video zao mbalimbali katika ukurasa huu. waandishi wa kipengele hiki watalipwa kulingana na idadi ya watembeleaji wanao enda kutazama video hizo katika kurasa zao za machapisho.
26.Nafasi za kazi
Ni kipengele ambacho wadau mbalimbali wenye uwezo wa kupata taarifa za matangazo ya kazi kirahisi watakua wakichapisha matangazo hayo katika kurasa zao ili kuwapa fursa wasomaji wengine ambao wako mbali na vyanzo vya habari kama hizo kuweza kupata habari hizo. Waandishi wa kipengele hiki watalipwa kulingana na idadi ya watembeleaji wanao ingia kusoma matangazo hayo ya kazi katika kurasa zao za machapisho.
27.Hadithi
Ni kipengele ambacho kinatoa nafasi kwa watunzi mbalimbali wa hadithi mbalimbali kuweza kuchapisha hadithi zao na kuwafanya wasomaji kuzisoma hadithi zao kutoka katika pande mbalimbali za dunia, Waandishi wa kipengele hiki watalipwa kulingana na idadi ya watembeleaji wanao ingia kusoma hadithi zao kupitia kurasa zao za machapisho.
Kujiunga na nijuze bonyeza HAPA