Tangaza Biashara zetu kwenye Mitandao ya Kijamii tukulipe

nyuli

Senior Member
Sep 7, 2012
128
95
Wamiliki wa mitandao ya kijamii,
ambao wana followers wengi na hivyo kujipatia LIKES za kutosha
wataanza kulipwa kwa kila LIKE
wanayopata.

Thamani ya LIKE moja inaanzia Tsh 2/- hadi Tsh 10/-

Katika mfumo huu unaoitwa Pay Per Like(PPL),itamlazimu mmiliki wa mtandao wa kijamii kuweka tangazo la kibiashara katika ukurasa wake,hivyo kiasi cha likes kitakacho patikana baada ya kuweka tangazo hilo ndicho ambacho mmiliki wa ukurasa huo atalipwa.

Mtandao wa nijuze.co.tz utaanzisha program hii hivi karibuni,na mfumo wa usajili kwa wenye mitandao tayari umesha anza.

Kama unamiliki ukurasa wa instagram,facebook na twitter
unaweza kujiunga,na kuanza kuipa thamani LIKE yako.

Pia kupitia mtandao huu licha ya kuwa unatangaza matangazo ya kibiashara pia utakuwa ukitumika ku-promote kazi mbali mbali za wasanii za muziki na filam,kwa kusambaza kazi zao kupitia wachapishaji wake wa kwenye mitandao ya kijamii.

Vifanye vidole vyako sasa vianze kukulipa,ipatie thamani ya kifedha kila LIKE unayopata.

Kwa maelezo zaidi na kujisajili na mfumo huu,BONYEZA HAPA
 
Back
Top Bottom