Matukio ya watu maarufu wenye followers wengi sasa kununuliwa,Watu maarufu kuoga mapesa

nyuli

Senior Member
Sep 7, 2012
128
95
Maisha ya mtu yamejaa vitu vingi vya kuvutia,kufurahisha na vingine vya kusikitisha na kutisha.

Haijalishi ni jambo gani ulilonalo Nijuze inakupa nafasi ya ku-"share" na marafiki zako au watu wengine matukio au jambo lolote katika maisha.Kama vile;-

-Maisha
-Matukio
-Hadithi
-maigizo
-Elimu
-Teknolojia
-Ucheshi
-Tamaduni
-Urembo
-staili n.k

Nijuze inakigeuza kila unacho share kuwa kipato

Kama unajijua unakitu ambacho unaweza uka-"share" na jamii nijuze inakupa nafasi hiyo.

Si lazima kila kitu au kila tukio ulionyeshe katika mtandao wako wa kijamii moja kwa moja.

Mfano umenunua gari,umepata mtoto,umefunga ndoa,umepata mpenzi mpya,umepiga picha nzuri,sikukuu yako ya kuzaliwa na unajua kuwa marafiki zako wangependa kuliona tuma picha au video za tukio husika hilo nijuze sisi tutakupa "link"ambayo utaiweka katika mtandao wako wa kijamii,ili kila mtu akitaka kuliona gari lako jipya au kitu chochote cha kuvutia kuhusu wewe atabonyeza "link" hiyo ambapo itampeleka katika ukurasa wenye gari lako au kitu ulichitaka ku-share!

Ukurasa huo utaanbatana na matangazo ya kibiashara hivyo kabla kitu ulichotaka ku-share hakijaonekana mtu huyu anayetaka kuona kuona kitu hicho ataona tangazo la biashara kwa sekunde 20.

Wewe uliye-share kitu hicho utalipwa kutokana na idadi ya watembeleaji wa link hiyo ambao wameenda kuona kitu ulichoshare!

Watu maarufu,watunzi wa hadithi,watu wenye elimu na mambo mbalimbali wanaweza wakashare na Nijuze na kujipatia kipato zaidi.

Ili uweze kuungwa na mfumo huu angarau uwe una wafuatiliaji wa maisha,matukio au mambo yako kupitia mtandao wako wa kijamii wasio pungua 1000 kwa siku!

Mfumo wa kijiunga ni bure na watakao kua wakitembelea ukurasa wako utakao kuwa uki-share watatembelea bure.

Wewe uliye share utalipwa kulingana na idadi ya walio tembelea page yako kwa muda wa mwezi mzima.

Kufahamu mfumo huu unavyo fanya kazi pamoja na masharti na vigezo tafadhari tembelea mtandao wa nijuze.co.tz

Pia nijuze itakuwa ikinunua taarifa na matukio yote makubwa ya wasanii na watu maarufu kama vile,kupata mtoto,kununua nyumba,ndoa,nyumba mpya,sharehe n.k ambapo nijuze ndio utakua mtandao wa kwanza kuonyesha exclusive zote za wale walio jisajili.

Kwa maelezo zaidi tuandikie info@nijuze.co.tz
 
Gari yako
Mtoto wako
Mafanikio yako
Kwanini usimshukuru tu Mungu na kusonga mbele?
Maonesho ya nini?
 
Gari yako
Mtoto wako
Mafanikio yako
Kwanini usimshukuru tu Mungu na kusonga mbele?
Maonesho ya nini?
Gari yako
Mtoto wako
Mafanikio yako
Kwanini usimshukuru tu Mungu na kusonga mbele?
Maonesho ya nini?

Katika ulimwengu wa sasa mafanikio yanaweza kukuletea mafanikio zaidi,mtoto wako anaweza kukuletea maendeleo zaidi kama tu ujaji wake duniani umetengeneza hamasa ya watu kutaka kumwona au kumjua.

Watu maarufu hutumia kila walicho nacho kuwasaidia zaidi hasa kiuchumi!

Tanzania hatutakua wakwanza duniani hali ndo hiyo.
 
Je siwezi kupewa huo mshiko kwa post zangu za hapa JF? Maana mi niko humu kuanzia majogoo mpaka majogoo.
 
Back
Top Bottom