Wanaopokea likes nyingi kwenye mitandao sasa kuoga mapesa

nyuli

Senior Member
Sep 7, 2012
128
95
Wamiliki wa mitandao ya kijamii,
ambao wana followers wengi na hivyo kujipatia LIKES za kutosha
wataanza kulipwa kwa kila LIKE
wanayopata.

Thamani ya LIKE moja inaanzia Tsh 2/- hadi Tsh 10/-

Katika mfumo huu unaoitwa Pay Per Like(PPL),itamlazimu mmiliki wa mtandao wa kijamii kuweka tangazo la kibiashara katika ukurasa wake,hivyo kiasi cha likes kitakacho patikana baada ya kuweka tangazo hilo ndicho ambacho mmiliki wa ukurasa huo atalipwa.

Mtandao wa nijuze.co.tz utaanzisha program hii hivi karibuni,na mfumo wa usajili kwa wenye mitandao tayari umesha anza.

Kama unamiliki ukurasa wa instagram,facebook na twitter
unaweza kujiunga,na kuanza kuipa thamani LIKE yako.

Pia kupitia mtandao huu licha ya kuwa unatangaza matangazo ya kibiashara pia utakuwa ukitumika ku-promote kazi mbali mbali za wasanii za muziki na filam,kwa kusambaza kazi zao kupitia wachapishaji wake wa kwenye mitandao ya kijamii.

Vifanye vidole vyako sasa vianze kukulipa,ipatie thamani ya kifedha kila LIKE unayopata.

Kwa maelezo zaidi na kujisajili na mfumo huu,tembelea nijuze.co.tz.
 
Mimi post zangu zinakuwaga na likes 3 hadi 4, mjiandae kunilipa sh. 8 yangu

Malipo yanafanyika kila mwisho wa mwezi wa kalenda,mapatao yako katika akaunti inatakiwa angalau uwe umefikisha kiasi cha Shilingi 1000/- na kuendelea kuweza kufanyiwa muamala wa malipo

Taarifa ya mapato ya kila mwezi itakua ikionekana katika account yako,unaweza ukaacha pesa zako hadi pale zitakapo fikia kiwango cha kukuridhisha.

Ni mfumo mzuri wa kujipatia kipato cha ziada.Cha msingi jitahidi kutumia mitandao ya kijamii na kuwa na followers wengi.

Karibu usikate tamaa.
 
mkwanja unaupataje?

Ingia website yao wanamaelezo yote,ila kwa kifupi unaweza kulipwa kwa njia kuu tatu.
1.Kupitia bank account yako utakayo isajili.
2.kupitia mobile phone transaction.
3.kufika ofisini kwao kupokea fedha physically.
 
Nimeshajiunga mkuu.Nataka nione utapeli au la.Na ntatoa ushuuda kwayale yatakoyojili kwa mamember wenzanguni humu jamiiforum.
 
Wamiliki wa mitandao ya kijamii,
ambao wana followers wengi na hivyo kujipatia LIKES za kutosha
wataanza kulipwa kwa kila LIKE
wanayopata.

Thamani ya LIKE moja inaanzia Tsh 2/- hadi Tsh 10/-

Katika mfumo huu unaoitwa Pay Per Like(PPL),itamlazimu mmiliki wa mtandao wa kijamii kuweka tangazo la kibiashara katika ukurasa wake,hivyo kiasi cha likes kitakacho patikana baada ya kuweka tangazo hilo ndicho ambacho mmiliki wa ukurasa huo atalipwa.

Mtandao wa nijuze.co.tz utaanzisha program hii hivi karibuni,na mfumo wa usajili kwa wenye mitandao tayari umesha anza.

Kama unamiliki ukurasa wa instagram,facebook na twitter
unaweza kujiunga,na kuanza kuipa thamani LIKE yako.

Pia kupitia mtandao huu licha ya kuwa unatangaza matangazo ya kibiashara pia utakuwa ukitumika ku-promote kazi mbali mbali za wasanii za muziki na filam,kwa kusambaza kazi zao kupitia wachapishaji wake wa kwenye mitandao ya kijamii.

Vifanye vidole vyako sasa vianze kukulipa,ipatie thamani ya kifedha kila LIKE unayopata.

Kwa maelezo zaidi na kujisajili na mfumo huu,tembelea nijuze.co.tz.
Nimejiunga mpaka xaxa sijakubaliwa.Nna mashaka kidogo.
 
kuna billionea mmoja yeye haitaji hizo likes yani ukimjibu ms yke yeye anaingiza $ za kutosha
 
Hiyo ipo siku nyingi, watu wanapost picha za walemavu, ajali au kitu kitakachokugusa kisha wanasema kama una UTU au unampenda Mungu type AMEN or LIKE AND SHARE.
 
Hiyo ipo siku nyingi, watu wanapost picha za walemavu, ajali au kitu kitakachokugusa kisha wanasema kama una UTU au unampenda Mungu type AMEN or LIKE AND SHARE.

Haaaaaaah! Kumbe hua ni dili!
Leo umenifumbua macho. Ahsante.
 
Nimejiunga mpaka xaxa sijakubaliwa.Nna mashaka kidogo.
Ukijiunga unakuwa-registered moja kwa moja,Hakikisha unatumia taarifa za kweli mfano jina,namba ya simu pamoja na email address.

Kama ukitumia email ya uwongo huwezi kukubaliwa na mfumo kwani,link ya ku-activate account yako inatumwa katika email uliyo tumia kujisajilia.

Hivyo itakulazimu uingie katika email yako na uactivate account yako.
 
Wizi mtupu
Umeibiwa nini mkuu,Kujisajili bure,Kila kitu bure cha zaidi sisi ndo tunakulipa wewe,sasa unasema wizi mtupu kuna sehemu umeona unatakiwa kulipia hata shilingi moja?

By the way hii ni hiali si lazima,kama kwa utashi wako umeona kuna uwezekano wa wewe kuibiwa(sijui nini) tulia pembeni ukiona hakuna wizi utakaribia,haya ni maisha hulia hubanwi na chochote.

Ila katika ulimwengu wa sayansi na technolojia sio vizuri kukurupuka na ku-conclude jambo from just your imagination,na uhakika hujaingia katika mtandao husika ukasoma chochote kile.But karibu ukiwa tayari!
 
Back
Top Bottom