Search results

  1. Hewa mkaa

    Hii ni kwa wale tunaokumbayia ajira.

    Kwa wafanyakazi tulio wengi, hiki kibwagizo tumekutana nacho sana. Ama kutoka kwenye vinywa vya viongozi wetu kazini au kwa wafanyakazi wenzetu wasio na maono. Kwa ufupi ujumbe wa mara kwa mara ni "kuheshimu ajira". Wengi tumekuwa waoga kuthubutu kuacha ajira. Visingizio tunavyotumia mara kwa...
  2. Hewa mkaa

    How Kenya Plans To Gain From Direct Flights To US

    How Kenya Plans To Gain From Direct Flights To US The government will roll out a programme to market agriculture produce as part of an initiative to make the most from the maiden Kenya Airways (KQ) flight to the United States. In the plan being spearheaded by the Ministry of Agriculture, Brand...
  3. Hewa mkaa

    Ajali za bodaboda

    Tunawasaidiaje hawa? Je hata kama eanawakimbia kwa kukosa nyenzo, je camera haziwezi kuwasaidia ili traffic aliyeko Mbele asaidie kama ilivyo kwenye magari?
  4. Hewa mkaa

    Tazama tiba mbadala kwenye kuku

    Dawa za LIFE SELI zinatengenezwa Kinondoni kwa Manyanya. Nimejaribu dawa zake. Kuku wangu kila nikiwapa wanapata matege na kupofuka macho. Najiuliza hivi wizara ya mifugo iko wapi! Hawa waganga wa jadi sasa wamehamia kwenye mifugo. Serikali tusaidie kama hizi dawa za asili kwenye kuku mmeruhusu...
  5. Hewa mkaa

    Dressing code ya wafanyakazi nchini Uganda

    Baada ya onyo kwa wanaocheza uchi napenda niwajuze dressing code ya nchi jirani kwa wafanyakazi. Ni nzuri na inaleta heshima. Female officers To dress in a skirt or dress that is not above the knees, with a smart long or short sleeved blouse. Officers should avoid wearing sleeveless...
  6. Hewa mkaa

    Trafiki mko wapi jamani!

    Vijana wetu wanaumia, wanapata vilema kwa ajili ya overload ya bodaboda na nyie mnaona. Hivi kwa nini adhabu kali ni kwa magari tu!! Viongozi na yoyote anayehusika chondechonde tupia jicho swala hili ni janga na linamaliza Vijana.
  7. Hewa mkaa

    Tetesi: Auawa kwa kudaiwa deni la kubanwa mbwa

    Huko Karagwe Kijiji cha Ommageyo kijana mmoja aitwaye Jackob Anacret amemuua jirani yake anayeitwa Beitwa kwa kumchoma kisu!! Inasemekana ugomvi ulianza wakati marehemu alipohisiwa kutaka kumdhulumu Anacret pesa Tsh7000 ambazo waliuziana mbwa. * Picha ya marehemu imeondolewa
  8. Hewa mkaa

    Usumbufu TRA Tazara.

    Mateso ni makubwa. Tunateswa makusudi upande wa kutoa leseni za udereva. Tangu asubuhi ni watu 2 wamepewa leseni tena wanawake. Vishoka nao ni wengi wanaingilia utaratibu. Tafadhali wahusika waziri Mpango tusaidie Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Hewa mkaa

    Kodi ya majengo bado kizungumkuti

    Mwitikio wa watu ni mkubwa. Lakini utaratibu ni wa kukatisha tamaa. Foleni ni ndefu lakini wahudumu wachache mno. Mara utasikia mtandao uko down. Yaani ni vituko. Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
  10. Hewa mkaa

    Kasheshe ya kodi ya nyumba Dar

    Kuna msongamano mkubwa kutokana na watu kuitika wito wa property tax. Inaonyesha siku ya leo halitoshi kwa sababu TRA hawakujuandaa na mafuriko. Serikali iongeze siku ili waitikie wito huu kwa ukamilifu
  11. Hewa mkaa

    Kiukweli nawapa Big up wapinzani

    Naanza kwa kusema, kama siyo kelele za wapinzani haya yote tungeyajuaje!!. Ni kutokana na wapinzani tukajua kwamba fedha za kodi zinaliwa hovyo. Ufisadi wa madini, maliasili na mikataba mingi mibovu, tumepata kujua kutokana na kelele za wapinzani. Nakumbuka Kafulila na wengine imewacost...
  12. Hewa mkaa

    Hii ina maana gani?

    Jamaa hawa wanakaba hadi penati. Sasa ajira ya vijana wa kitanzania itatoka wapi?[emoji32][emoji32][emoji32]
  13. Hewa mkaa

    Unamjua Maiko Jakson wa Tizii

    Jamaa huyu kaamua kutoka kivingine. Akina Diamondi wakae mkao wa kupigwa chini na mashabiki wao.
  14. Hewa mkaa

    Hivi ni kweli?

  15. Hewa mkaa

    Gharama za miamala ya simu

    Hali ndo kama hivo wakuu. Bado unakatwa pia wakati wa kuongea. Naacha kutumia simu kuanzia Januari. Maana najiuliza unaponunua bando, thamani inaongezeka wapi? Mchanganuo wa gharama VODACOM-BUNDLES ni: Gharama:Tshs 423.73 VAT :Tshs 76.27 Jumla :Tshs 500.00
  16. Hewa mkaa

    Gari imeibiwa

    FORWARDED "12-11-2016 05:00hours Habari za muda huu?,nimeibiwa gari muda huu Kibaha ndio tupo njiani tunatafuta gari namba T771 DAG. IST.Tafadhali naomba unisambazie msg hii kwenye magroup mengine. +255768444500 Janet Frank Mtei".
  17. Hewa mkaa

    Mahakama yakataa mtoto asipewe jina la baba pekee

    Mahakama ya katiba ya Italia imetoa hukumu dhidi ya sheria inayompatia moja kwa moja mtoto anayezaliwa ndani ya ndoa jina la baba yake. Mawakili walidai kuwa kuzuwia familia kuwapatia watoto wao majina ya babu zao wazaa mama ni ubaguzi dhidi ya wanawake. Huku kwetu si watu watalogana?
  18. Hewa mkaa

    Italia: Mahakama yakataa mtoto asipewe jina la baba pekee

    Mahakama ya katiba ya Italia imetoa hukumu dhidi ya sheria inayompatia moja kwa moja mtoto anayezaliwa ndani ya ndoa jina la baba yake. Mawakili walidai kuwa kuzuwia familia kuwapatia watoto wao majina ya babu zao wazaa mama ni ubaguzi dhidi ya wanawake. Ni kweli. Mtoto ni wa mama zaidi...
  19. Hewa mkaa

    Kifaa kutoka angani chaanguka Mynmar

    Kifaa kikubwa cha chuma kimeanguka kutoka angani katika eneo la migodi Kaskazini mwa Myanmar Kifaa hicho cha muundo wa mviringo, kilichopatikana siku ya Ijumaa katika jimbo la Kachin, kina urefu wa mita 4.5 na upana wa mita 1.2. kifaa kingine cha chuma chenye maandishi ya kichina kilitoboa paa...
Back
Top Bottom