Hewa mkaa JF-Expert Member Sep 3, 2012 742 377 Dec 31, 2016 #1 Jamaa huyu kaamua kutoka kivingine. Akina Diamondi wakae mkao wa kupigwa chini na mashabiki wao.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 278,618 1,128,568 Dec 31, 2016 #3 Vitu vya kucopy huwa havidumu. Kama ana kipaji chake mwenyewe atadumu.