Hii ina maana gani?

Hewa mkaa

JF-Expert Member
Sep 3, 2012
742
377
7e0a5fc3d0c76837fcacc4f046e9819b.jpg


Jamaa hawa wanakaba hadi penati. Sasa ajira ya vijana wa kitanzania itatoka wapi?
 
Nyie si mnataka kazi za kuchomekea na kupaka utuli? Tulieni vivyo hivyo.

[HASHTAG]#HapaKaziTu[/HASHTAG].
 
Tatizo kubwa la waafrika ni kutegemea wageni kutatua matatizo ya kiuchumi badala ya kuendeleza raia wao ili kupata suluhu ya kudumu.
Wachina wanatumia fursa hiyo hiyo ya fikra tegemezi hasa za viongozi.
 
Back
Top Bottom