Gharama za miamala ya simu

Hewa mkaa

JF-Expert Member
Sep 3, 2012
743
500
Hali ndo kama hivo wakuu. Bado unakatwa pia wakati wa kuongea. Naacha kutumia simu kuanzia Januari. Maana najiuliza unaponunua bando, thamani inaongezeka wapi?

Mchanganuo wa
gharama VODACOM-BUNDLES
ni:
Gharama:Tshs 423.73
VAT :Tshs 76.27
Jumla :Tshs 500.00
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom